Mbowe: Uchaguzi huu hatutaibiwa kura!

Mbowe: Uchaguzi huu hatutaibiwa kura!

Umeshasema ni wapinzani, hakuna aliyewahi kuja na ushahidi unaojitosheleza kuwa kura ziliibiwa, wengi wao ni porojo tu baada ya kukataliwa na wananchi.

Mbaazi zikikosa maua, husingizia jua...

Sasa wale vijana wa udukuzi ambao hukusanywa na chama nyakati za uchaguzi mkuu huwa wanatumika kufanyaje kama si uchakachuzi kaka?
 
Wewe jichekeshe tuu, style itakayo tumika ni kama ile uliyoiona kutumika leo kule Monduli ya kumtoa mtu kwa nguvu ambaye hakuchaguliwa na kumweka aliyechaguliwa kwenye kiti huku Polisi wakishuhudia. Au kama yale ya Migombani Segerea na kwingineko kama kile kipigo cha pale Land Mark hotel ambako mwenyekiti wa kuchonga alipokuja kuapishwa aliishia kujificha kama Gadaffi kwenye Kalavati na kurudi kwake kavaa shati vipande vipande.
Kama mmeamua kuwa hamtoki bali kwa mabavu basi mtaona itakavyo kuwa.
Mheshimia hapo umenena afari hii nkma segerea na kingineko hibiwi mtu kura
 
MACCM yamezaliwa na tabia ya udokozi, lazima yataiba tu.

Hakuna watu wanaowaibia tena chadema ndo wezi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameiba sana na wengi wa wapiga kura wao walijiaikisha zaidi ya kituo kimoja hivyo walipiga kura zaidi ya kituo kimoja!

Kweli kama mbowe alivyosema wizi wao hautapewa nafasi tena!
 
...yes..... yes...yes na huku tarime na rorya tunataka mafunzo ya karate,kupiga vichwa maana upumbavu mwisho na kulalamika hakuna tena.
 
....makamanda kama kuna chance ya kuwaibia ccm ibeni mara 10000
 
mpango wa ukawa kusimamisha mgombea mmoja umegoma?? kweli hawa ni wasaka tonge

Nyie mbwabwaje tu wenzenu wako kimya kabisa, wanawaacha mchanganyikiwe kabla hamjapigwa bomu la mwisho ambalo hamlitarajii na hapo ndo itakuwa mwisho wa kusikika neno CCM tena.
 
Kamanda, nadhani umesahau kuwa CHADEMA kupitia Red Brigade huwa wanakesha nje ya vituo vya kuhesabia kura mpaka matokeo yatangazwe, na huko ndani kwenye uhesabuji CHADEMA wana mawakala wao!..

Kama kura zinaibiwa na majini, sawa, ila kwa namna ya kibinadamu hakuna kura ya CHADEMA iliyowahi kuibiwa!

Nani asiyejua kuwa hao mawakala wa upinzani mnawaweka kitimoto wakubali kupindisha matokeo!? Na wenyekuonesha msimamo mnawaua na kuwatupa msituni kama yule wa kule Igunga-Tabora au umesahau!?
 
Mkuu makamanda mwaka huu hawatoki, kila mara wanajidai wanaibiwa kura, lakini sasa wameshajifunga wenyewe kuwa kura hazitoibiwa tena, kwahiyo Single ya kuibiwa kura ndio imefia hapa, tunasubiri waje na kisingizio kingine cha kushindwa!

hak ya nani msipowachezea rafu watawagalagaza!
 
Nani asiyejua kuwa hao mawakala wa upinzani mnawaweka kitimoto wakubali kupindisha matokeo!? Na wenyekuonesha msimamo mnawaua na kuwatupa msituni kama yule wa kule Igunga-Tabora au umesahau!?
Kwanza sikubaliani na wewe ....
Lakini kama hali ndio hiyo, Mbowe ana uhakika gani kuwa hawa wa sasa hawatawekwa Kitimoto na kukubali kupindisha matokeo? Na kama wale walionyesha msimamo 'wakauwawa' vipi hawa wa sasa?
 
Back
Top Bottom