angalia walivyoziweka ajira portal kama mdau hapo juu alivyotuelekeza jinsi ya kujaza ili mfumo usikatae, wameweka bachelor of education alafu masomo uliyospecialize kama ni mathematics au kiswahili and geography, sasa mimi natafuta bachelor of education nimespecialize history ad english...
bei za internet ziko juu sana hii hukwamisha biashara ya mitandaoni kwa sehemu kubwa, eneo hili liangaliwe ili kuleta uwezo mkubwa wa vijana kujiajiri katika sekta hii, kupandisha bei za vifurushi vinafungia watu uwezo wakufanya biashara hizi kiufasaha, na hata sio kufanya tu bali hata kujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.