Recent content by NAFIKA

  1. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    Pm tafadhali
  2. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Elimu ya maarifa: Je, wajua?

    Kaka naomba nifungulie PM
  3. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji mtu wa kujitolea kunifundisha kuendesha gari

    Nenda Kibo driving Arusha, ipo Philips, mtafute mtu anaitwa Innocent, anaweza kukusaidia kusoma kwa kulipia ada kidogo kidogo, ukimaliza utapata cheti
  4. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata mkopo?

    Tunapatikana Dar es Salaam na Arusha, kwa Dsm tupo Mwenge Itv road, kwa arusha tupo mitaa ya ngulelo karibu na Rians college, fika moja wapo ya ofisi zetu na utapatiwa maelekezo yote pamoja na vigezo, karibu sana!
  5. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata mkopo?

    Karibuni AHADIWAY Development initiative, mkopo wenye riba nafuu(10%) kwa miezi sita tu! Pia tunatoa mikopo ya kufanya miradi(projects) ndogo na zile za kati, masharti ni nafuu!
  6. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi vina kamera za kumchunguza mmiliki?

    Lllttuyy :-Pbi.S
  7. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka mbolea kwenye shamba la vitunguu

    Namba moja ndio sahihi!
  8. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwanamke huishia hapa

    Mijanaume imekua mivivuuuu!!! We ulioa ili nini? Hata bible inajua kua mke ni msaidizi wa mume tu!! Timiza wajibu wako uone kama mke atakusumbua....ila ukiwa goigoi utakujalalamika kuwa mkeo hakununulii boxer!!
  9. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Afya bora

    Je mtoa mada, wajua hiyo process ya kufanyia mwili service pia inatumia vitu ambavyo vina faida hasi na chanya? je Faida Hasi za hizo bidhaa zako ni zipi?
  10. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wengi wameugua ghafla msaada tafadhali.

    Kuku wako wanahitaji mtaalam wa wanyama awaone na aweze kukushauri uwape tiba gani, wahi sasa tafuta daktari wa mifugo akusaidie.
  11. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Hapa inakuaje PCCB, mbona sijaelewa hata kidogo

    Sijapewa namba yoyote, jina langu kwenye matokeo halipo na kwenye usaili halipo...............nimepotezea naendelea na ishu zingine......mizengwe mingi.
  12. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Kuhifadhi mboga na matunda kwa muda kama wiki

    Tayarisha chumba chako cha kuuzia hizo mboga, then funga AC mbili ambazo zitakua zinahifadhi ubaridi humo, kuna mboga zinazohifadhika hata kwa wiki mbili kwa style hii.......Ila mboga zinazoharibika upesi zinahitaji wateja wa upesi pi, hivyo ni vema ukajipanga na swala la soko pia.
  13. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Hapa inakuaje PCCB, mbona sijaelewa hata kidogo

    Sio yeye tu, hata mimi namba yangu kapewa mtu mwingine halafu nimefaulu vizuri tu, nimeshindwa kushangaa, coz this is Tanzania.
  14. NAFIKA

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea interview ya pccb ndani ya sabasaba.

    Sawa kijana! Nakuona na wewe ulivyokaa mkao wa mtihani!
Back
Top Bottom