Recent content by Nafasi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

    Ni MILAMBO sio Mirambo. TUliwapiga sana Tabora Boys. Kuna siku ilikuwa Jmosi tuliwachapa yaaani tuliwavamia kwao then Jpili tukaenda kusali Joint-Mass, Ilikuwa Mwaka 1999-2000, nilikuwa EGM Form Six
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Architect Besha bado hajapata PHD au ndio anafanya PHD, na mfahamu ni Collegue mate wangu, alifanya kazi Land Plan -Icon Aerchiects now called Epitome Architect Limited. Prof Mosha was by then Director of K&M Architect LImited a prestigious Architectural Firm now own and directed by Arch Albert...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Uingereza aambukizwa virusi vya Corona

    Minister-'Nadine Dorries' she is so Cute and beautiful, nimempenda sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya jana (02.02.2020) ni "rare palindrome"

    Vipi kuhusu 03.03.3030
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nipo Mtwara Ukifika Ni PM nikupe Connections, GR 7, Shooters panahusika sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    NILIVYOKULA TUNDA LA ASKARI POLISI KIMASIHARA Na mimi baada ya kusoma uzi huu, kwa mara ya kwanza naomba nieleze namna nilivyokula tunda kimasihara. Ilikuwa hivi; Ilikuwa mwaka 2016 mwanzoni, ofisi yetu ilikuwa maeneno ya karibu na geti la kutokea hospitali ya Muhimbili(Maternity ward gate)...
  7. N

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Kutofanya Kazi Baadhi Ya Simu janja December 31

    Mimi yangu ni Adroid Version 8.0.0, wakifika huku nishtue mpwa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    How about Preambles and Specifications
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

    Habari x.
  10. N

    JamiiForums Tanzania 14-Oktoba-1999: Ulikuwa wapi?

    Utakuwa Ulisoma MILAMBO HIGH SCHOOL nami pia nilikuwa hapo Form six. Milambo tulifiwa na Mwalimu wetu(Nyerer alifundisha hapo sometime years back) Siku ile zilitafutwa some documents za Nyerere
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ili UDSM kiwe Bora, Ardhi University na MUHAS zirudishwe UDSM

    Nadhani wewe ulisoma Land surveying (Geomatics), mimi Nilisoma Building Economics na nilimaliza Year 2005
  12. N

    JamiiForums Tanzania Vita ya uchumi kupitia vita kati ya Marekani na Uchina

    Uzi tayari
  13. N

    JamiiForums Tanzania Taja Guest/Lounge uliyowahi/ulizowahi kuhudhuria (Include na Location iliyokuwepo)

    Kuna KIBADAMO LODGE ni nzuri sana hasa ukipata vile vyumba vya jengo la Pili ambapo hamna lift, ukiwa na mateka wako mnafungua madirisha mnapata hewa nzuri huku mki-view ubungo bus stand, ni Tsh 30,000 tu. MIC Hotel ni nzuri kwa vyumba vya Tsh 40,000 na kuendelea, nina mateka wangu anatokeaga...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake 10 Mahiri Kuwahi Kushika Nyadhifa Kubwa za Kisiasa Duniani

    Umemsahau Mkuu wa wilaya ya Kisarawe "JOKATE"
Back
Top Bottom