Kuhusiana kichwa habari hapo juu, Msweet kama upo humu JAMII FORUMS naomba tuwasiliane kupitia DM.
Usinielewe vibaya, kuna uzi uliutoa siku za nyuma siku za nyuma nimeuona siku za karibuni kuhusiana supplement (virutubisho) fulani.
Nakuomba kupitia DM unisaidie nijue unapovipata virutubisho...
Habari zenu wananzengo hususani wa Jamii Forum!Mimi ni mojawapo ya watu ambao wana uelewa hafifu wa mambo ya simu hasahasa mambo ya KAMERA.
Jamani Nina mpango wa kununua simu moja wapo Kati ya hizi;
(1)Ina macho matatu jicho la kwanza MP 108,jicho la pili MP 8, jicho la tatu MP 2.
(2)Ina macho...
Nafikiri mleta mada unamaanisha makaburi ya kondo ambayo yapo karibu na ununio.
Hiyo njia yakuingia kwenda makaburini ipo opposite na kanisa katoliki na sio Lutheran Makaburi ya ununio yapo barabarani kabisa karibia na njia ya kwenda ununio beach.
Jina namfahamu siwezi kuliweka hadharani. Mimi wakitokea ndugu zake na ushahidi wa kutosha wanawapa nyumba yao.ila nawadai 18 milioni za mshahara wangu.
Mm sijaenda kwa sangoma,sasa mbona simu amepewa mteja mwingine?ina maana nina wasiwasi hayupo hai.
Kwahiyo miaka 10 mshahara wangu unafika millioni 18.
Kupangisha ndio njia pekee ya kujilipa mshahara wangu.
Kama kichwa cha habari kilivyoanza hapo juu wengi watafikiri labda ni utani lakini sio utani ni kweli.
Mimi nimezaliwa Mtwara, mara baada ya kumaliza darasa la saba nikawa sina dili, nikawa niponipo tu kijijini lakini akili zangu zikinituma nitimkie Dar kutafuta maisha.
Nikatafuta vibarua vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.