Kulikuwa na haja gani ya kuwaambia waende moja kwa moja kwenye vituo vyao vya kazi kwanini wasingesubiri wakamilishe taratibu zote ndo wawaambie wakaripoti.
Kwanza nichukue fursa hii kuwapongeza kwa kazi mnayoifanya yakulijenga taifa hili.Niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu,Hivi karibuni Sekretarieti ya ajira mliwapangia vituo vya kazi watahiniwa waliofaulu sahili zilizopita yani kutoka kwenye database katika Shirika la umeme Tanesco.Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.