Maharage Chande Unaangamiza Morali ya wafanyakazi NBC

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Maharage Chande amenyang'anya nafasi za parking kwa wafanyakazi wa ngazi za chini wa benki ya NBC.Kuanzia sasa nafasi zilizokuwa wanapaki wafanyakazi hao zitakuwa zikitumiwa kwa ajili ya kukodisha wafanyabiashara wakubwa.
 
weka vizuri dada Nazjaz, kama sijakuelewa vile, Maana nikisikia Maharage Chade nakumbuka mambo ya kampeni
 
Kwa sasa ni Chief Operations Officer pale NBC.Kwa hiyo kapeleka ufisadi wake huko.
 
Sasa hii issue si muishughulikie kiofisi? Maana JF hapa hatutaweza kukusaidia.
 
Kaziii ipooo na mandondo....nasikia ana masifa sana huyo aatabadili kila kitu hapooo maana anajiona yeye ndio the best of all time!!!
 
Maharage Chande amenyang'anya nafasi za parking kwa wafanyakazi wa ngazi za chini wa benki ya NBC.Kuanzia sasa nafasi zilizokuwa wanapaki wafanyakazi hao zitakuwa zikitumiwa kwa ajili ya kukodisha wafanyabiashara wakubwa.

Ubaya wake nini? nyie si mnatakiwa kuhudumia wateja sasa mteja analeta bizinesi hana pa kupak....i wewe umepaki mkweche wako siku nzima....mteja akihamia benki nyingine je...safi sana bwana mabinzi...
 
Maharage Chande amenyang'anya nafasi za parking kwa wafanyakazi wa ngazi za chini wa benki ya NBC.Kuanzia sasa nafasi zilizokuwa wanapaki wafanyakazi hao zitakuwa zikitumiwa kwa ajili ya kukodisha wafanyabiashara wakubwa.
Mi mwanzoni nilidhani kawanyima mshahara?!! Kumbe ni parking tu.. sasa mkachukua hatua gani? Maana navyoelewa parking ni priveledge kwa staff na sio lazima kwa mwajiri. Na kama wamewapa wafanyabiashara wakubwa (corporate clients), si ni kwa sababu ndio wanawaweka mjini? Sasa malalamiko ya nini? Hebu tulalamikie masuala ya msingi na sio hizi petty issues! Mwishowe tutaletewa malalamiko hapa kuwa Maharage kamwita mtu mjinga halafu unataka tujadili. Fanyeni kazi huko, na muondokane na userekali uliowajaa.. Maharage kaja na moto wa corporate lakini kawakuta nyie bado mko usingizini mnaendeleza magumashi tu!
 
hapo kwenye bold mkuu...

asante kwa observation....

NBC tafuteni alternative parking...complaints kama hizi ni upuuzi mtupu

halafu kichwa cha thread kimepinda..mi nilidhani kawanyima mapesa ya mwisho wa mwezi kumbe parking!!!!!!!:)
 
Mleta mada ni mpotoshaji, Maharage ni jamaa smart sana! Nadhani kaamua kufanya hivyo ikiwa ni strategy ya kumuweka mteja mbele. Haiingii akilini mteja anayeleta deposits akose parking kisa staff wame occupy eneo lote.
Maharage Chande amenyang'anya nafasi za parking kwa wafanyakazi wa ngazi za chini wa benki ya NBC.Kuanzia sasa nafasi zilizokuwa wanapaki wafanyakazi hao zitakuwa zikitumiwa kwa ajili ya kukodisha wafanyabiashara wakubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom