Recent content by nadinemumu

  1. N

    Michuano ya foosball yatembea kwa kasi Dar

    Tangu mwezi uliyopita kumekuwa na michuano ya #foosball ambayo zimekuwa zikichezwa kwenye baa mbali mbali. WaTanzania wenzangu sijui mnaifikiriaje mchezo huu ambayo imeletwa kwenu na bia ya Heineken.
  2. N

    tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

    Ningependa kukwambia kwamba sio kila saa kwamba Tigo wanakuibia.. hiyo huduma iko mpaka ulaya lakini naona wabongo bado hamjaijua. Ukipiga simu ya rafiki yako na haipatikani unaweza kumachia message kwenye answering machine na badaaye akiwasha simu ataipata message yako na kukucontact...Tigo...
  3. N

    Natafuta sponsors kwaku sponsor event

    Habari zenu, Nilikuwa natafuta sponsors kwa kusponsor event ambayo itafanyika November mwaka huu, Kama kuna mtu ambayo anaweza kusuggest makampuni ambayo wataweza kutusponsor au wanaweza kuwa interested na watataka more information wanaweza kunitumia email kwenye myoma.kapya@gmail.com Asante...
  4. N

    Jackson Mmbando-afisa uhusiano wa Tigo

    Mambo yenu, Jackson yuko Airtel and ofcourse mtu unaangalia maslahi.. ni kweli kwamba kweli aliinua Tigo.. sasa inabidi wampate mtu ambaye ataweza kuifanya kama alivofanya ngoja tuone Airtel na wenyewe although wa strategy tufauti!!
  5. N

    Tigo Usanii mpaka kwenye shughuli za kijamii. Kwa style hii tz tutafika.

    CPA, Usafii ilikuwa ya kweli... ni nani haswa alikujibu vibaya?
  6. N

    Kuna yeyote aliyepata ajira kwa kupitia 'everythingDAR'?

    Mwenzangu alijibiwa lakini bado hatujapata...
  7. N

    Nyumba ya kupangisha inahitajika

    Jamani mini nitaomba contact zenu wale ambayo wanacontacts za hizi nyumba zakupangisha. Mimi natarajia kuanza kutafuta mwezi wa pili. Natafuta nyumba ambayo ina vyumba viwili, sebule, jiko, choo na bafu ndani, ikiwa fenced itakuwa bomba. Na iwe karibu na barabara. Maeneo - K"nyama - First...
  8. N

    Nyumba ya Kupanga Inahitajika

    Nimefurahi sana kuona hii post.Mimi na tarajia kupanga come March 2011. Ningependa kupata ka nyumba ambayo ina vyumba viwili, sebule, choo ndani,jiko na maji. Rent around 280,000. Ikiwezekana kulipa miezi 6 mwanzoni nitashukuru. Maeneo : Kijitonyama - First choice, Msasani, Kinondoni, Mwenge na...
  9. N

    GE2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Kwa kweli kwa mimi ' Slaa anafaa sana! Tumpe kura! That is if they will not get stolen!
  10. N

    Research associateship!

    pape, najua ni late lakini nimeiona leo na nimetuma email kwako, Hope to hear from you, MK
  11. N

    Be a Part of History, Join Our Company!

    Hi, this address is in USA or?
  12. N

    Head of Sales & Sales People Needed!

    Okay how do we apply jamani??
Back
Top Bottom