Kuna yeyote aliyepata ajira kwa kupitia 'everythingDAR'? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna yeyote aliyepata ajira kwa kupitia 'everythingDAR'?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Ndibalema, Mar 11, 2011.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Habari!
  Naomba kama kuna yeyote humu jamvini atoe ushuhuda kama alishawahi kuitwa katika usaili au kupata ajira kwa kupitia everythingDAR.
  Hawa jamaa wanatangaza posts nyingi hivyo ningependa kujua kama kasi ya kutangaza nafasi hizo pia inaendana na kuajiri.
  Aksante.
   
 2. g

  geophysics JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi nilituma application nikajibiwa hivi........
  Thank you for your application.

  We have reviewed your qualifications and pre- shortlisted you for the position of Administration Officer with Living Fund- Tanzania Program

  Find attached the Living Fund Entry Assessment Form. Fill it honestly and
  accurately and return the same as we need to fill the position as soon as possible .

  Please note that we require for the position your latest Cognitive Ability Psychometric Test(CAPT) certified by an Independent Psychometric Invigilator

  Should you not have your psychometric assessment ready, please fill the
  entry assessment form but schedule your CAPT with an International
  invigilator including but not limited to;
  Apple gate www.applegate.co.uk
  Escbon Services Africa www.escbon.com
  Testing Mind www.testingmind.com

  Any other accredited CAPT Invigilator is fine as well.
  Please scan and email the certified CAPT score to reach me by Friday 11th March 2011.
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Duu ndio ma nini haya sasa mbona havieleweki.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Asante sana Geophysics,
  Kwa hiyo mbali na kutuma applications kumbe kuna milolongo mingine mireefu!!
  Ndio maana nikawa na mashaka na hiyo kitu inayoitwa everythingDAR.
   
 5. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Mie kila nikisoma tangazo la kazi katika site hiyo nikifika kwenye kipengele cha mode of application hua nachoka. maana wanakwambia use the e-mail above. ukienda juu hakuna email zaidi ya wao.
  To be honest kazi zangu nyingi nazipata kupitia kwenye magazeti na hasa The Guardian na Daily news. Jumatatu naenda kufanya Interview katika NGO nyingine nataka ni shift kutoka kwenye NGO niliyonayo sasa
   
 6. m

  mja JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  all the best
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mie nimeitwa kwenye interview mbili moja nimepata ila mshahara mdogo.
  Cha kufanya Wewe ukiona nafasi zao nenda kwa web ya campany sio wao kama ni TRA, BOT, TACAIDS, Mkapa Foundation fata hiyo link sio everything in dar
   
 8. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kifupi hawa jamaa mie siwaamini kabisa,wana milolongo mirefu isiyokuwa na maana,vipi blog ya kazi999.com mbona haifanyi kazi,hii ilikaa vizuri,kazi zao zilikuwa za kweli
   
 9. wende

  wende JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 715
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mimi bwana naapply kila wakati but no responnse!!
  Ila kuna mshiriki mmoja anasema tuwe tunatuma maombi kwa website ya kampuni na si kwa hao everythingindar,thanks nakubaliana nae ngoja sasa nianze na new mode of application.
   
 10. a

  arinaswi Senior Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I just got back from an interview about one of the jobs i applied for thru everythingindar. I think they are truthful. I had tried to check on their website but i could not see that post advert so i just applied via everythingindar. Maybe you shouldn't give up too soon. I wish you luck!
   
 11. p

  pihu Senior Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I doubt this website; itakuwaje watangaze nafasi ya kazi for a company they are not sure if it exists!!! I'm referring to LIVING FUND.........
   
 12. s

  sirmudy JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yap . Mm nilifanya interview last week, Standard chartered Bank. Ni kweli ajira zao, ila kama wadau wengine wnavyosema inabidi ukiona tangazo uende moja kwa moja ktk website ya taasisi au shirika husika kwa uhakika zaidi.

  Zipo zingine ukituma kwa email zinakupa "failure notice"Hili linanikera kwa kweli coz mtu utatumia muda mwingi kuandaa application letter and modification ya CV, at the end inakupa hiyo message. NI KERO:angry:
   
 13. P

  Pretty P Senior Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamani wana Jf za masiku? Nilipotea kidogo ni sababu ya majukumu ya kijamii.
  Napenda kuwatoa hofu wana jf. Mimi nimeitwa kwene interview kibao na niliapply kupitia everythingDar.com na uhakika wakupata ulikuwepo ila tu kwakuwa sikupata mda wakwenda kwene interview. Kweli watu wanapata kazi kupitia everythingdar.com
  Tusihishie apo kesho naenda kwene interview na tangazo nililiona hapa JF la secta ya maendeleo ya jamii, nitawajuza kesho nikitoka ukokwene interview.
   
 14. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #14
  Apr 21, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu, unahitaji kuwa professional jobseeker ili kufahamu tofauti za matangazo ya ajira, Google search ipo kwa ajili yako, ukiona tangazo make sure unatafuta direct link zao ktk website za muajiri,ikiwezekana piga simu kuuliza kama kweli wametoa hizo nafasi. Kama hawana website,chukua hizo info then google na utapata kujua kama ni scammers au ni real thing maana siyo waajiri wote wana website.
  TAFADHALI JIRIDHISHE KWANZA KABLA YA KUTUMA MAOMBI YAKO.
   
 15. P

  Pretty P Senior Member

  #15
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamani mie nimerudi na mwenye swali aulize,
   
 16. n

  nadinemumu Member

  #16
  Apr 21, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mwenzangu alijibiwa lakini bado hatujapata...
   
 17. HarusiYetu

  HarusiYetu JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 459
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  READ THIS AND PLEASE DON'T LOOSE HOPE IN LOOKING FOR JOB!!!!


  Jamani are we real serious about the comments we make? Am sure kama mtu ni graduate au sio graduate ila anatafuta kazi anapaswa kujua mambo mengi. Mimi nimepata kazi mara tatu sehemu tofauti ikiwamo hii ya sasa hivi kupitia nafasi zilizokuwa zinatangazwa na EVERYTHINGDAR.COM na sasa zoomtanzania.com.

  Lazima tukubali ukweli kuwa wplicants wengi tunaufahamu mdogo kuhusu , job search skills, computer applications (internet use/website information search), interview skills and job application package preparation.


  So its likely you can not get job or called for an interview kama wewe mwenyewe you did not seriously make effort and research for the job and ensure that you did real meet the position requirements as stipulated by the employing institution vinginevyo tutakuwa tunalumbana bila majibu na kukatisha wengine tamaa kuwa hatupati kazi au kazi fulani si za ukweli kama ambavyo wengine wanaamini kuwa huwezi pata kazi TRA, BOT,na kwingineko maarufu bila kumjua mtu. Sikatai kuna weza kuwa na zengwe ila sio kila siku na pia sio ndo ukate tamaa kabisa kuomba, kwakuwa hupati hasara na mtafutaji hachoki pia.

  Now for those who has a tried to follow up IT trend or changes in computer use and applications though business studies graduate like I or graduate from any field would know the following;

  The reason the former EverythingDar.com and now ZoomTanzania.Com has so many jobs, is because they protect the employers email address. If they post the actual email address, then that email is exposed to SPAM.

  Employers also don't want to share their emails, because they don't want the HR manager, receiving hundreds of follow up emails from candidates that applied for the job asking about status.

  This form of email protection by the so called CAPTCHA is greatly used by a lot of website too on their contact page as to prevent spams and automated email sending by robots for advertising or promotion. This is pretty standard, on any professional job site in the world.


  The emails are protected by CAPTCHA, which is the code you have to enter before sending the email. This is the same for all listings on ZoomTanzania.com, not just jobs, and for the same reason as explained above.

  They way this works, when you send a job application through the CAPTCHA form, the email goes directly to the right person at the company. If they reply to your email, then you will see their email address. This way, they are only exposing their email address to who they consider to be serious applicants.


  Many companies here in TZ implement a strict "mailbox size", meaning the email account can only hold so many emails before the mailbox is full. If you are receiving error messages that the email was not delivered, chances are good that it is because the mailbox is full and can't accept any more emails.

  This can happen very quickly for a popular job when many people apply, particularly with attachments of CV's, certificates, etc. that fill up the mail box quickly. The best way to avoid this, is to apply early.

  If you are not getting many interviews, it's not Zoom Tanzania's fault. It's probably because you are applying for jobs that you are not qualified for, or because you are not writing a good cover letter. ZoomTanzania has created a nice little set of helpful hints on how to get more interviews. I found this very helpful, and if you are not getting interviews, I strongly recommend you read it. Check out ZoomTanzania | Job Seekers Guide

  Ninatamani sana kama kila mtu apate kazi na pia napenda tuelimishane namna yakufanya kupata kzi na nataraji sasa nimepata challenge kuba kwani nimekuwa kila siku naumia kuhusu watu kukata tamaa kuhusu kazi au applications wanazozifanya. Cha msingi ni kujua kuwa website nyingi wanaolist jobs huwa zinaposting free na waajiri, pia huwa wanaongeza kwa kuchapisha nafasi kutoka kwenye matngazo ya kazi kwenye magazeti na hivyo kurahisisha kuweka pamoja nafasi hizi na kumsaidia yule na mimi tusioweza kununua magazeti mengi au kila siku, pia kuna waajiri ambao hawatangazi magazetini.


  Mwisho tuelewe kuwa unapotuma application ikaleta error au isiende mara nyingi inatokana na kujaa kwa inbox ya mpokeaji au hata akiwa alikosea anwani pepe/email adress ndo haya mambo yanajitokeza na si kuwa website husika , tuelewe kuwa website inakuwa kama gazeti kwani unapoona nafasi kwenye gazeti ukaomba application isiende huwa unamlaumu mwenye gazeti?


  Vijana wenzangu na watanzani wenzangu naomba niwakilishe mchango wangu wa mawazo na ufahamu nikiamini tutakosoana kwa kusaidiana na kuelimishana ili sote tufikie lengu la kuweza kupata kazi na kujimudu kimaisha. Pia niatajitahidi kuwapa resources mbalimbali kama hii niliyoione toka ZOOMTANZANIA.COM
  . ZoomTanzania | Job Seekers Guide

  Kwenye maelekezo ya namna nzuri yakuandaa application package yako kwani mtego huu wa nini kinahitajika tukiweza then tutaitwa kwenye interview nyingi na tukishaitwa tutatakiwa kujua tena mtego wa interview skills and questions ambapo tukimaliza na hilo basi kazi tutapata.

  Tusiwe wachoyo kuelimishana hata kupeana testimonies kuwa namna gani ulifanay au uliandaa vipi appilcation zako ukapata kazi kwa sisi tuliokwisha pata.


  VIJANA NI NGUVU YA TAIFA LA LEO, NA KAZI NDO MSINGI WA MAENDELEAO.   
 18. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  nimekupata kaka
   
 19. S

  Slm Senior Member

  #19
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  safi sana mkuu
   
 20. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Nimekupata ila dah kila nikituma inaniletea error message! haya ntaendelea kutafuta
   
Loading...