Tigo Usanii mpaka kwenye shughuli za kijamii. Kwa style hii tz tutafika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo Usanii mpaka kwenye shughuli za kijamii. Kwa style hii tz tutafika.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CPA, May 7, 2011.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Leo asubuhi nilikuwa napita mitaa ya magomeni hospital. Nikiwe kwenye folen hapo magomen, nikaona kundi kubwa la wafanyakazi wa tigo wanafanya usafi wa barabara iendayo top bar, upande wa pili kuna bibi anayefanya usafi barabarani anafagia. Wale wafanyakazi wa tigo wanafagia sehemu ambayo sio chafu ni safi kabisa, huku huyo bibi yupo na kitolori chake anafagia sehemu chafu, mbaya zaidi hana hata vifaa. Nikabaki kujiuliza kama kweli wanalengo la kufanya usafii mitaani, kwanini wanafanya usafi sehemu ambayo tayar imeshafanyiwa usafi huku sehemu chafu wakimwachia huyu bibi wa afanye usafi? Bahati nzur mtu mmoja akajitole kuwauliza, mbona mnafanya usafi sehemu safi na kumwachia huyu bibi sehemu chafu? hao wafanyakazi wa tigo walimtolea maneno machafu sana.
  Hivi huu usafi wanafanya kwa kujitolea au wanafanya matangazo ya kibiashara?
   
 2. b

  bwakea Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haa hii ndio bongo bwana
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndiyo tigo bana. Kwani wewe hujui maana ya tIGo?
   
 4. n

  nadinemumu Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  CPA, Usafii ilikuwa ya kweli... ni nani haswa alikujibu vibaya?
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kumbe kwenye tangazo la airtel wanaigiza mambo ya kweli, duh! kama ndio hivyo, basi hawa tigo ni wasanii kweli!
   
Loading...