Recent content by Nabugabo spare parts

  1. N

    Mwimbaji wa Uganda Lady Mariamu yuko wapi?

    Mbalala Uganda siyo mbarari mkuu
  2. N

    Biashara ya mikoba, viatu na nguo kutoka Uganda naomba msaada wa mawazo

    Ukifika mpakani badilisha fedha yako maana ukifika Kampala utapunjwa maana hautakuwa na njia nyingine...ukifika Kampala kwa huduma ya mpesa Tanzania au kubadilisha pesa fika Arua Park utawakuta wanatanzania kibao
  3. N

    Unatakiwa uwe na kiasi gani cha mtaji uweze kufuata bidhaa Uganda?

    Ipo wazi japo unatakiwa kuwa na certificate ya covid 19 kuweza kuruhusiwa kuingia Uganda
  4. N

    Bobi Wine apata dhamana

    Habari njema hizi
  5. N

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Tarehe 1/10/2020 inafunguliwa rasmi...japo kipindi chote cha corona delivery ya mizigo ndo imetumika Sana kwa Sasa tunaanza kusafiri wenyewe pia.
  6. N

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Sasa hii sijajua wewe upo sehemu gani Mimi nipo kanda ya ziwa spare naifata Uganda Ukifika Kampala nenda mitaa ya Kiseeka market, Gagawala street, Nabugabo shopping centre na Shamba complex hiyo mitaa yote utapata Kila aina ya bolts kwa kg1 inauzwa ugx 10,000/= na pia spare yoyote utaipata...
  7. N

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Kwa kawaida fundi kazi yake ni kuhakikisha mteja akifika dukani anamuuzia spare hata Kama ni bulbu ya sh.miatano anamshawishi na kumuwekea spare husika...mkataba wako na fundi ni kuhakikisha spare inauzika maana wateja walio wengi husikiliza ushauri wa mafundi kuliko muuzaji ukizingatia kampuni...
  8. N

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Kwa uzoefu wangu items ambazo ni fast moving kwa anayeanza biashara hii ni Kama ifuatavyo, Engine oil petrol no.40, tube 300.17 ,275.17,300.18 clutch cable,speed cable,brake cable,acc.cable,chork cable. Bearings 6200,6300,6004,6202,6302,628,6304,6205.spark plug,side mirror, winker...
  9. N

    GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

    Hapa Missenyi Mh.Tundu Lisu amesubuliwa watu wamekesha uwanja wa mashujaa chakaza...bendera za chama zinapepea Kila upande Niyeye2020
Back
Top Bottom