Sio wimbo wa mambo bado. Chameleone
Hapana sidhani kama ndio hao kina Cindy?
Nafkiri ni wengine walikuwa miaka ya nyuma kidogo.
Pia kuna yule.jamaa aliefatiki Radio alikuwa na kipaji sana.
Halafu mnisaidie ile sign nyingi video zikiisha inaandikwa " tugende tukole " halafu linafata "Leon island" ni ya nani?
Niliskia ni ya chameleon