Bobi Wine apata dhamana

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,321
2,000
Mgombea Urais wa nchi hiyo kupitia National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi anayefahamika zaidi kama Bobi Wine amepata dhamana baada ya kukamatwa Jumatano

Kwa mujibu wa Polisi, Mgombea huyo alikamatwa kwa madai ya kukiuka taratibu za COVID19 ambazo zimewekwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya

Nchi hiyo imeingia katika vurugu kufuatia kukamatwa kwake na baadhi ya watu wamepoteza maisha na kujeruhiwa huku mamia wakikamatwaPIA, SOMA:
 
kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,103
2,000
Mgombea Urais wa nchi hiyo kupitia National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi anayefahamika zaidi kama Bobi Wine amepata dhamana baada ya kukamatwa Jumatano

Kwa mujibu wa Polisi, Mgombea huyo alikamatwa kwa madai ya kukiuka taratibu za COVID19 ambazo zimewekwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya

Nchi hiyo imeingia katika vurugu kufuatia kukamatwa kwake na baadhi ya watu wamepoteza maisha na kujeruhiwa huku mamia wakikamatwaPIA, SOMA:
Naona jamaa kaja kuchukua mateso ya Dr. Kiiza Besigye. Maana yule kila siku ilikua ni kukamatwa na kichapo kisha anapelekwa kolokoloni.
Viongozi wetu Afrika bado sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom