Zomba
Pole sana kaka, nachukulia kuwa wewe ni Mu-Islam (kutokan na maandishi yako yaliyopita), kama ni hivyo, basi naomba urudi kwa mola wako na uombe toba kwa sana. Hakuna kitu kibaya kama kuwa fitna, mwanga na mchawi.
Shukrani tele Zomba kwa kunijalia sifa. Rejea katika SURATUL...