Recent content by Nabii Mleke

  1. N

    JamiiForums Tanzania Chemsha ubongo!

    Mmm Naic Walionitangulia Wamepitia Mi Nakazia 2 Mikocheni
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nampenda house girl kuliko nimempandavyo mke wangu.

    Nikuambie Ki2, Mtafutie Mkewe Kisa Upate Kumfukuza Umchukuwe Beki Tatu, Ama Kama Wewe Msilam Ongeza Jiko Ruksa. Usisononeke
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Na Mwanaume

    Kati Ya Mwanaume Na Mwanamke Ni Yupi Anaweza Kukaa Mdarefu Bila Kufanya Ngono? Na Kwa Mwanaume Ukikaa Mwaka Bila Kufanya Ngono Kunamadhara Unaweza Kupata?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Pasua Bongo

    Ngoja Niwatajie. Hicho Kinywaji Ni, STONE, TANGA, WIZI, Mmenipataeee Makofi Bac Kidogo Tafadhali
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Rais wa China, Xi Jinping nchini Tanzania - Machi 2013

    Inaonyesha Wazi Tanzania Ni Nchi Inayopendwa Na Mataifa. Wengi Wanavutiwa Na Asili Mali 2lizo Nazo. Pamoja Na Aman Iliyopo Tanzania. Ujio Wa Rais Wa China Tanzania Ni Fursa Kwa Watanzinia Wote Kujuwa Kwamba China Na Tanzania Ni Marafiki Tangu Enzi Za Mwalim Nyerere. Si Mnakumbuka Sera Ya Ujamaa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mpenzi Wako Akikuzingu

    Hayo Ni Mateso Kila Siku Una2mia Dawa Za Maumivu Ikiisha Maumivu Yanarudi Tena Utaumia Sana Bora Pengo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Niende Argentina na Mzungu?

    Sasa Jamani Nifanyaje Nisiende Uko Agentina Wapendwa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mpenzi Wako Akikuzingu

    Mpenzi Wako Akikuzinguwa Mwambie Bora Pengo Kuliko Jino Bovu. Ya Nini Upate Maumivu Kila siku?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Pasua Bongo

    Nitajie Kinywaji Ambacho Herufi Za Mwanzo Ni Neno La Kingereza, Herufi Za Kati Nijina La Mkowa Uliopo Tz, Herufi Za Mwisho. Huwalifu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini, nani na wapi ukisikia maneno haya?

    Nakumbuka Nilipokuwa Form One Huo Ndo Ulikuwa Kwangu Kama Wimbo Wa Taifa.
  11. N

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Ni Kweli Kabisa Sasa Ivi Matepeli Wamejaa Kila Mahali .kama Hawa Wanaojifanya Wanganga.sijawahi Kuona Mganga Anajitangazi. Bali Wale Aliowaponya Ndo Wanamtangaza
  12. N

  13. N

  14. N

    JamiiForums Tanzania Niende Argentina na Mzungu?

    Nina mwanamke wa Kizungu ambaye kanipita miaka 10. Ananipenda na anataka niende nikaishi naye Argentina. Naombeni Ushauri na mawazo yenu. Asante.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe namna ya kutengeneza cake ya kawaida

    Jamani Mi Mgen Nimetokea Fb
Back
Top Bottom