Recent content by nabali

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ushoga na haki za mwanamke na watoto ni watoto pacha

    Vichwa maji hawawezi kukuelewa boss
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nyimbo zote za Franco Lwambo & T.P.O.K jazz

    2. Lukoki 3. Mario 4. Mamou Les roumers etc
  3. N

    JamiiForums Tanzania Main opposition party (CHADEMA) has already given up on the idea of showing Magufuli for who he truly was

    Magufuli bado anakupiga za uso wewe na vyeti vyako feki! Kaa kwa kutulia kijana.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli amekukosea nini kila mara unamkosoa kimafumbo kwa watu mbalimbali?

    Umesema kweli, wanahofu kubwa na watu wa bara hasa kanda ya ziwa! Falsafa za Magufuli za Hapa Kazi ziliwatesa sana, maana pwani kwa asili ni wavivu so hawaamini kujiletea maendeleo kwa kufanya kazi kwa bidii, kwao ili upate maendeleo ni mjini anakujua nani ama ni kutembeza bakuli kuomba msaada...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya anafaa sana kuwa Rais wa Tanzania, na atakuja kuwa

    Kati ya mambo ya hovyo iliyofanya serikali ya huyu mama ni ile kuwatoa muhanga vijana walioipigania CCM bila unafiki, huku ikidhani itajipatia waungaji mkono wengi kutoka Upinzani! Believe me wapinzani wa nchi hii ni watu walioharibika akili kiasi kwamba hawafai kwa kila jambo jema! Endelea...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana Urusi kukubali maongezi ya amani, yaani nikikumbuka jeuri na mikwara ile

    Hasa Mashoga! Wanamchukia sana Mr. Putini
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

    Mkuu cocastic, umemiangusha sana leo! Kumbe hata wewe...!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rost-Time kaingia, anga limechafuka ghafla, majanga mfululizo

    Wewe naye ifike mahala utathmini michango yako humu, maana ni unahasira muda wote! Umepwaya sana mkuu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Misri una uzito gani cha kumfanya mama asizike wananchi wake 19?

    Kwa heshima kubwa kabisa naomba nikuite MPUMBAVU. Full stop
  10. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda akana kuwa na mpango wa kumuweka 'Mchaga' kwenye Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Bora wachaga wajipendelee kikabila tutavumilia, ila wasukuma hapana!
  11. N

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ilikuwaje kipindi cha utawala wa Magufuli mvua zilinyesha kwa wingi hadi kimo cha ziwa Tanganyika na Victoria vikaongezeka? Nini kimetokea baada yake maana ni kama mvua zimeanza kukata kiaina? Je Magufuli alikuwa na kibali gani kwa Mungu ambacho huyu wa sasa hana!? Je nikwasababu jina la...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Testimony: 1000 years in the world of darkness (1)

    Inabidi mtu kuwa makini sana unaposoma haya, maana naona kuna vitu kadhaa vinapotoshwa hapa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kukombolewa Kutoka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 1

    Umenikumbisha miwaka 1993 ktk viwanja vya Jangwani nilimwona kwenye mkutano akitoa shuhuda hizi live
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

    Walimu walilazimika kuomba ukarani wa sensa sababu shule zote zimefungwa kupisha zoezi hilo, sasa ulitaka wakae nyumbani wakati mtu angeweza kujaribu bahati yake akapata vi laki viwili vitatu vya ukarani!?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mungu wangu likumbuke Taifa langu la Tanzania

    Wewe naye ni kigeugeu mno hadi natamani kujua umri wako! Mungu anaipenda mno hii nchi, hivyo usitake kuleta panic zisizokuwa na sababu
Back
Top Bottom