Rost-Time kaingia, anga limechafuka ghafla, majanga mfululizo

Ndo nasema lazima wananchi tuamue aina Gani ya Uchumi itumike kama Nchi maana HD sasa ktk MAKARATASI tu Wajamaa bt ktk uhalisia ni Mabepari uchwara.

KATIBA mpya itatue Hilo, maana hv sasa kinachoendelea Si Uwekezaji Bali ni Uporaji wa Raslimali za Umma na kuplekwa Kwa kundi dogo.

Nani alimteua huyo Rost tamu, au Utaratibu Gani ulihalalisha awe mshauri na mwekezaji mkuu nchini? Bunge linajua?

Kundi la wapigaji ni dogo lipo CCM wakishirikiana na viongozi uchwara na madalali vyama kinzani, baadhi wamo CDM.

Fagio lazima lipite kusafisha Hali hii.
Katiba haiwezi kutaja nani awe tajiri na nani awe maskini. Juhudi yako na akili ulizopewa na muumba ndizo zitakuvusha.

Kama unadhani Katiba itakuongezea kipato basi wewe ni sawa na abiria anayesubiri kupanda meli barabarani
 
Acha ubinafsi.

Ndo ninyi ukipewa nafasi ya kuwa WAZIRI wa maliasili Kwa mf utawaza kuuza Mt KILIMANJARO Ili ufaidike we na family Yako bila kujali Nchi na vizazi vijavyo.

Hapa tunajadili utajiri na manufaa Kwa ajili ya nchi nzima, kuwainua wasionacho Kwa kugawa sawa fursa za kiuchumi, kielimu, kiafya, kijamii nk. Kulingana na raslimali zilizopo.

Ukiwa tajiri pekeako na umezungukwa na maelfu ya maskini huna AKILI, maana wataziijia na kudhuru.
 
And you have the best already on the table. Tatizo waafrika mmejaa uvivu na wivu. Whether Rostam ameiba lakini kawekeza humu humu na ajira anatengeneza.

Nyie mkiiba mnaishia ulevi na umalaya tu. That's why jealous is killing you
Hata huo ulevi na umalaya nihumuhumu...
Kwahiyo akiwekeza humu ndiyo atuibie?
Unauhakika anawekeza humuhumu?
Tatizo lako ujinga alafu hujui ujue...
 
"ATCL" imerudia kuwa ATC.."Any Time Cancelation!"
"Kenya Airways"Mgomo mkubwa unaendelea!
"Precision Air" chubwiii kwenye maji.

Na ndio kwanza mjomba kainunua Kosti-Aviwasheheni! kampuni ya mtaliano aliyefariki hivi karibuni pale Dar Es Salaam.

Kwenye Mitandao ya simu nako, tangu ameingia mjomba.
Bundle za Internet zinazidi kupungua, huku bei ikizidi kupanda.

#Nape yuko kimya tangu then....mdomo ulipojazwa asali, toka buyu la Mjomba!

Ni hivi majuzi tu, mjomba aliinunua ile kampuni ya Tu-go!

Kwenye Mitungi ya Gas nako, tunamuona Waziri wa Nishati, ameacha ofisi na kuingia mtaani na vijijini kufanya promosheni ya Twafa-Gas!

Tumeshuhudia Saa-100 akituteulia kikosi kazi cha kutafuta namna ya kampuni ya Mjomba. Twafa-Gas itakavyowezeshwa kupewa kandarasi ya kuisambaza gesi yake na serikali kwa kila taasisi na kila kijiji.

Ni hivi karibuni mjomba alifanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Gesi kupitia kampuni yake ya Twafa-Gas!

Huku tunaona mjomba akizidi kujiweka sawa kumbadili huyu wazo-la-mkuu.

Ili safu yake itimie.
Sababu kati ya woote walioko, kuanzia Msogee hadi Zenji, na kuanzia Bumbu-wali hadi Mitamaa

Kote amepashika mjomba!
Tatizo liko hapa Kwa huyu wa Rua-angwa bado kuna kizuizi, buyu la mjomba linakwama kuingia kooni mwa Rua-angwa!

Hivyo inaonekana wazi ni kutafuta kuondoka kwa Majaaliwa ya Mungu!

Tobaaa!

Wa kunielewa tuko wote!
Niko siti ya mbele kidogo.

Yanayokuja Yanakerehesha!
10101 Alamsiki!
Tume kwisha wadanganyika ! Njia ni mija tuu.....Burundi
 
Mkuu unakunywaga bia gani?
Agiza hapo Konyagi kubwa na chapati sita nakuja kulipa
 
mujarabu
 
Kwa taarifa yako urithi ni haki yangu ya kuzaliwa, ama ulitaka nitelekeze cha wazazi wangu waliotangulia mbele ya haki? Na kwa taarifa yako nilirudi fresh hapa Tanzania nikiwa na mtaji na ujanja wa maisha juu. Ukichanganya na nyumba za urithi zikanifanya niwe na added advantage ya kuwekeza hapa mjini. Ni viile natumia fake I'd lakini ungekaa kwa kutulia.

Ww ndio unatetemekea ajira za serikali hivyo unadhani kila mtu ni kama wewe. Mimi sitaki hiki chama cha siasa za kijamaa na hii ni toka wazazi wangu. Hatuna DNA za kujikomba kwa wanasiasa wachovu kama wewe.
Wewe naye ifike mahala utathmini michango yako humu, maana ni unahasira muda wote! Umepwaya sana mkuu
 
Hata huo ulevi na umalaya nihumuhumu...
Kwahiyo akiwekeza humu ndiyo atuibie?
Unauhakika anawekeza humuhumu?
Tatizo lako ujinga alafu hujui ujue...
Amekuibia nini? Mbona Magufuli hakuthubutu kumpeleka Mahakamani? Wivu na uvivu vitawaua maskini nyinyi
 
Shida kubwa,tuna li-kizazi kubwa lililozaliwa kipindi cha ufisadi,wizi na ubadhirifu wa mali za umma.

Kiasi kwamba,wao mwizi ndiye shujaa wao.

Mtetezi wa Raslimali wao wanamuona mshamba na wanamuombea kifo.

Mungu aendelee kutunusuru,ili tuwepo kushuhudia yajayo!
Huu ndio uhalisia sasa
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Aliyeirudisha roast tamu mezani ni mjomba hayati, na akaisifia sana.
Na sisi tukashangilia, sasa baada ya kuila roast tamu tumepata ugonjwa wa meno, tunakuwa vibogoyo,roast tamu imetula sisi
 
"If you are a big tree,
Then I'm a small axe,
Ready to cut you down,
To cut you down."

Yeye na genge lake waachwe tu waendelee kumuibia mama Tanzania na kujiona untouchable hivihivi. Lakini hakika anguko lao ni kuu na haliko mbali, siku hiyo kila mtu atabaki kusema haaa imekuaje! Wao si ni mti mkubwa? Basi wataangushwa na kashoka kadogo sana!

⏳️⏰️
So shall it be, siku na saa wasiyotarajia, amen!
 
Shida kubwa,tuna li-kizazi kubwa lililozaliwa kipindi cha ufisadi,wizi na ubadhirifu wa mali za umma.

Kiasi kwamba,wao mwizi ndiye shujaa wao.

Mtetezi wa Raslimali wao wanamuona mshamba na wanamuombea kifo.

Mungu aendelee kutunusuru,ili tuwepo kushuhudia yajayo!
Kizazi kilichoandaliwa na wapigania uhuru...Mungu awasamehe makosa yao, wamelitendea taifa letu pendwa ndivyo sivyo!
 
Hivi inawezekana mtu mmoja tena 'mpigaji' hadi usalama wa Taifa unakuwa mfukuni kwake kweli?
Itakuwa nchi ya ajabu sana kama TISS watakuwa kimya ktk upuuzi kama huu. Yaani yeye kukibwa kwake ni maslahi yake tu na hakuna kingine! Tuungane kusema hapana!
 
Labda mkuu, ila ni kizazi kingine kabisa cha mbali si hiki chetu.

Sisi ni waoga mno, hapa kwenge keyboard tuna ujanja mwingi, kutunishiana misuli lakini kukosoa serikali, kupazs sauyi hicho kitu hatujajaaliwa kabisa.
CCM imefanya wizi, ufisadi na ubadhirifu kuwa sifa na ujanja ndio maana kwao 'rost tamu' ni shujaa na mfadhili wao!
 
Back
Top Bottom