Recent content by nabahani21

  1. nabahani21

    JamiiForums Tanzania FAKE: Picha hii SIO ya aliyekuwa Waziri wa Ulinzi katika Serikali ya Sudan

    Acha uongo! Kadanganye wtoto wadogo.
  2. nabahani21

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu imeshakuwa ‘Taifa la Propaganda’

    Umenene ya ukweli tena kwa busara, Muumba akulinde Sent using Jamii Forums mobile app
  3. nabahani21

    JamiiForums Tanzania Mrejesho; Mpenzi yupo 'busy' siku zote

    Umebadili avatar yako mwanangu, ubarikiwe. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. nabahani21

    JamiiForums Tanzania Kenya wameanza chokochoko tena, na sisi tumewajibu

    Wamejiongeza, ni sahihi kupima, magumashi kwetu yamezidi! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. nabahani21

    JamiiForums Tanzania Ukweli usioujua kwanini unalipa bili kubwa ya umeme ingawa matumizi yako ni kidogo

    Kweli ni makala ndefu lkn haichoshi kusoma kutokana na umuhimu wake. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. nabahani21

    JamiiForums Tanzania Ukweli usioujua kwanini unalipa bili kubwa ya umeme ingawa matumizi yako ni kidogo

    Nimefaidika sana, ingawa najua kuna wengine wataita tangazo la biashara kwa akhlaki zao, zarau na kebehi. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. nabahani21

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Msanii Ali Salehe Kiba afiwa na baba yake mzazi

    Kwangu si busara kueleza inavyochanganya, ila tambua tu inachanganya kweli? Aha! Inaonekana pia kuna wengine wamekulalamikia hilo! Basi jua inasumbua hasa! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. nabahani21

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Msanii Ali Salehe Kiba afiwa na baba yake mzazi

    Unajua mkuu aggyjay, hii avatar yako inachanganya! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. nabahani21

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

    Hujamuelewa! Anakusudia anamkawiza kuendelea kulala nae pamoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. nabahani21

    JamiiForums Tanzania Mwanamke gani ungependa umuoe?

    Bila kupepesa no 1 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. nabahani21

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mtu anasingizia yupo kwenye foleni, kumbe kuna mtu analiwa!

    Siamini kwamba alitimia hilo neno! Nafikiri hamkusikia vizuri, hata kama ni muhuni sidhani kama amefikia huko. Na kama ni kweli na alikusudia na hakujuta, basi Watanzania tutakuwa tunamuasi zaid Mw. Mungu kuliko tunavyomtii, kwa hiyo anatuadhibu. TUMRUDIE MUNGU!
  12. nabahani21

    JamiiForums Tanzania Miaka 50 ya bakwata: Mwezi umeonekana, tende zimekuja pia tukahiji!

    Umenena, maneno yako yamesadifu maono ya wengi!
  13. nabahani21

    JamiiForums Tanzania SAUDI ARABIA: Mahakama yamzuia Mwanamke kuolewa na Mwanamuziki

    Mbona unaonekana una chuki na wapemba! Hapo mpemba kahusikaje? Na kwa nini utumie neno mpemba, mm nakumbuka mahakama hizo za kadhi zimepiganiwa na waislam wanaojitambua.
  14. nabahani21

    JamiiForums Tanzania Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

    Nimegundua jamii imepotoka kupita kiasi, mambo ya kipuuzi yanashabikiwa na kuchangiwa na watu wengi zaidi tena memba unaowadhania kwamba wanauwelewa, kuliko masuala yenye tija kwa jamii.
Back
Top Bottom