Betri za national. Zimeandikwa leak proof lakini zinavuja. Zina nembo yenu ya TBS
Sent using Jamii Forums mobile app
Msipende kudharau kazi za watu. Wewe sema ubora wa kitu fulani haujafikia unavyotaka wewe ila imefikia kiwango cha chini kinachotakiwa.Unakuta bidhaa imepimwa na TBS lakini haina ubora
Kwa hyo unashauri nini?Betri za national. Zimeandikwa leak proof lakini zinavuja. Zina nembo yenu ya TBS
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri mkuu alisema juzi. Kila kitu mkitaka kitoke Italia, je mtanzania wa kawaida ataweza kununua? Kazi ya kupima ubora wa kitu inakuwa based on minimum standard (Threshold) na sio maximum standards...Bidhaa hzo zimejaa kwa sababu pengine watu wenyewe wanazipenda ikichangiwa na wafanyabiashara ambao si waaminifu wanaoziingiza hzo bidhaa kwa njia ya panya
Weka ushahidi hapa..na je nikuulize unahifadhi hzo betri kwa kuzingatia maelekezo yaliyoandikwa kwenye paclage husika?
Una facts au unaropoka tu kama TL ?Unakuta bidhaa imepimwa na TBS lakini haina ubora
Jino kwa jino.
Ina bidi TBS na mamlaka nyingine wawe makini na bidhaa za ndani na zile zitokazo inje ya nchi.tembea uone mkuu, hakuna watu wenye janja janja na hila kama Wakenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi ni mwendo wa mwaga mboga sisi tumwage ugali.
Wakenya wameanza kuzuia bidhaa toka Tanzania na kuanza kuzipima upya ili kuzikagua ubora ilihali kulikua na makubaliano ya kwamba bidhaa zikishapimwa na TBS ziingie Kenya bila kikwazo...na sisi tumeamua kuanza kuzipima za kwao. Ni ujinga ujinga ambao unawacost wafanyabiashara na raia wa kawaida.
Tanzania, Kenya now row over border screening
Forgery zipo duniani kote..sema inatakiwa kuwa na mbinu sahihi za kukabiliana nazo ikiwemo elimu kwa wananchi..watu wanaangakia zaidi bei hawaangalii uboraIna bidi TBS na mamlaka nyingine wawe makini na bidhaa za ndani na zile zitokazo inje ya nchi.
Rushwa ndio adu mku.
Una kuta vitu visivyo kuwa na ubora vina ingia sokoni vikiwa na nembo ya TBS, japokowa kuna vingine vina pitishwa njia za panya.