unataka kuitumikia chadema, fine, sasa unataka nini??????
uongozi?
uanachama??
gwanda???????
au ndio una renew your political appearance to the society???????
Note: hapa JF huwezi pata hivyo vitu, hata kuwa kiongozi tu wa ulinzi katika mikkutano, labda ungeulizia ofisi za chama kwa mkoa au eneo...