Mujumba
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 853
- 306
ww mwanaume mzima unakaa unaleta majungu na ubea hapa jf, mm ni 1 ya walioajiriwa mwezi huo uliopita na sina ndugu wala sikuwa namjua m2 kabla ila uwezo wangu wa kujieleza ndani ya intrvw na vyeti vyangu ndo vimeniingiza na mm sio kabila la kimei. siku hizi ni kampuni nyingi sana haswa mabank huwa hawatangazi kazi ila wanaita wale ambao walipeleka barua. ww unasubirie kazi eeee? km unataka kazi lazima uchakarike na sio ukae km mwanamke anaesubiria kuolewa
acha uwongo wewe, ulipoandika barua yako haukueka referee ambae at least ana undugu au kufahamiana na kimei? yupo dada mmoja amesoma diploma ya ualimu lkn kwa vile yeye ni mmarangu amepewa AJIRA crdb wakati hana sifa za kufanya kazi benk