Niko tayari kutumikia chadema Tanzania

Ni kweli kamanda, si umeona kaikimbia thread yake baada ya kushtukiwa!
Umati wa watu waliokuwepo uwanjani walikuwa maelfu. Sasa hao milioni wangetokea wapi?
Mkuu umeniwahi huyu jamaa jana kadanganya kua wanachama Milioni Moja na Madiwani saba wa Magamba watajiunga na CDM sidhani hata watu elfu -umi kama walijiunga ile jana..
Jamaa muongo
 
Mkuu umeniwahi huyu jamaa jana kadanganya kua wanachama Milioni Moja na Madiwani saba wa Magamba watajiunga na CDM sidhani hata watu elfu -umi kama walijiunga ile jana.. Jamaa muongo[/QU inawezekana watu wengne hawakuweza kufika kutokana na mvua so elf 10 imeandikwa tu lakn ni zaidi ya hiyo elf 10
 
Habar wakuu Nia na madhumuni yangu napenda kusema kilichomo ndani yangu. si kwa ushabiki bali kwa nia ya dhati ya kuitumikia chadema. haijalish nina kiwango gani cha elimu ili niweze kuitumikia chadema Viongozi wa chadema wilaya,mkoa,taifa naomba muyasikie haya. au nimesema vibaya?

wanatafuta wachinjaji....uko tayari kukata watu kwa mapanga....mana ndo tunakoelekea huko
 
Madiwani 7 wako wapi?
Mkuu umeniwahi huyu jamaa jana kadanganya kua wanachama Milioni Moja na Madiwani saba wa Magamba watajiunga na CDM sidhani hata watu elfu -umi kama walijiunga ile jana.. Jamaa muongo[/QU inawezekana watu wengne hawakuweza kufika kutokana na mvua so elf 10 imeandikwa tu lakn ni zaidi ya hiyo elf 10
 
Hauitumikii cdm bali unalijenga taifa lako. Kuhusu cdm, kwanza jiunge uwe mwanachama ikiwemo kupata kadi na kulipia ada za uanachama. Then waelimishe wenzio wote elimu ya uraia ili wote tupambane kujitoa kwenye makucha ya wadhalimu![/QU usiofu mkuu
 
karibu sana! ni rahisi sana kuwatumikia watanzania kwa kupitia CDM. Ukipenda unaweza kuanza kwa kujiunga na chama rasmi, kisha jihusishe katika shughuli za chama and na jamii kwa ujumla kuanzia pale ulipo. Muone mwenyekiti wa CDM wa mahali ulipo kwa maelezo zaidi! Nasema tena, karibu sana mpendwa kwente team ya ushindi!
 
karibu sana! ni rahisi sana kuwatumikia watanzania kwa kupitia CDM. Ukipenda unaweza kuanza kwa kujiunga na chama rasmi, kisha jihusishe katika shughuli za chama and na jamii kwa ujumla kuanzia pale ulipo. Muone mwenyekiti wa CDM wa mahali ulipo kwa maelezo zaidi! Nasema tena, karibu sana mpendwa kwente team ya ushindi![/QU nimeshakaribia kitambo
 
habar wakuu nia na madhumuni yangu napenda kusema kilichomo ndani yangu. Si kwa ushabiki bali kwa nia ya dhati ya kuitumikia chadema. Haijalish nina kiwango gani cha elimu ili niweze kuitumikia chadema viongozi wa chadema wilaya,mkoa,taifa naomba muyasikie haya. Au nimesema vibaya?

apolonary una nia ya dhati au magamba wamekutuma?!!!! Kama dhati hiyo ipo nenda ofisi yoyote ya chadema watakuelekeza na kukupa kadi ya uanachama!
 
Wenye nia njema ya kukitumikia chama honekana kwa matendo yao. Kama kweli una nia hiyo wasiliana na viongozi wa cdm kwa kutumia mfumo halali wa kiofisi pale kwenye eneo ulipo/unapoishi, uvuliwe gamba, upigwe msasa na soap soap, then uvalishwe gwanda la ukweli. Siyo blaah blaah tu hapa jf kwa viongozi wa cdm taifa kwamba nataka kukitumikia chama, kwa moyo, nk. Kwa taarifa yako chadema ni matendo tu hakitumikiwi kwa maneno kama ccm
 
Wenye nia njema ya kukitumikia chama honekana kwa matendo yao. Kama kweli una nia hiyo wasiliana na viongozi wa cdm kwa kutumia mfumo halali wa kiofisi pale kwenye eneo ulipo/unapoishi, uvuliwe gamba, upigwe msasa na soap soap, then uvalishwe gwanda la ukweli. Siyo blaah blaah tu hapa jf kwa viongozi wa cdm taifa kwamba nataka kukitumikia chama, kwa moyo, nk. Kwa taarifa yako chadema ni matendo tu hakitumikiwi kwa maneno kama ccm[KWANI ULIAMBIWA MIE GAMBA?
 
Habar wakuu Nia na madhumuni yangu napenda kusema kilichomo ndani yangu. si kwa ushabiki bali kwa nia ya dhati ya kuitumikia chadema. haijalish nina kiwango gani cha elimu ili niweze kuitumikia chadema Viongozi wa chadema wilaya,mkoa,taifa naomba muyasikie haya. au nimesema vibaya?

unataka kuitumikia chadema, fine, sasa unataka nini??????
uongozi?
uanachama??
gwanda???????
au ndio una renew your political appearance to the society???????
Note: hapa JF huwezi pata hivyo vitu, hata kuwa kiongozi tu wa ulinzi katika mikkutano, labda ungeulizia ofisi za chama kwa mkoa au eneo ulipo ziko wapi ili ukajisalimishe, aza waizi, you are just playing a mind game
 
Back
Top Bottom