Jamani nina demu wangu tunapendana sana,ila mapenz yetu hayana mda mrefu hata miez 6 bado. Sasa jana kuamkia leo alitoka kazini kwake amechelewa, nikampitia nikamshawishi twende wote geto kwangu akalale kwao ataenda kesho, make hajawai kulala kwangu wala hatujawahi ku have sex.
Basi akaniambia naenda sawa ila plz tusigusane, kama dada na kaka, nkamwambia poa! Akakubali, akaja tukaenda wote geto. Tukalala, sikumgusa mpaka kukakucha, tena kitanda kimoja. Na wala yeye hakunisumbua japo kuna mda msee yangu alikuwa ana wake up!
Nikavumilia mpaka cku ikaisha. Na huyo huyo ndo nataka aje awe mama watoto wangu huko mbeleni!
Sasa je, najiuliza atanichukuliaje? Ataniona mstaarabu kwa kutovunja sharti lake? Au atanihisi simpendi au sijui mambo hayo? Maana cjamuuliza amenihisije kwa kuwa mkarimu vile, nasubiri wana Jf waniambie ukweli. Changia as much as u can!..