cjaomba kaz kwao wananiita nkafanye kaz.

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
jaman habarini za mchana huu.kuna maajabu sana hapa mjini yaan kila kukicha watu wanatunga sera za utapeli tu ama ni nn? Leo nmeamka natumiwa sms kutoka katika kampuni ambayo siifaham wanadai eti maombi yangu wameyafikilia vizuri niende nkafanye kaz ktk muda wangu wa ziada.muda wa ziada kiaje? Hapa ndipo ninapoona kuna kamwanya ka utapeli.cjawahi kuapply hii kampuni halafu wanadai wako sinza.mmh....
 
Kitakachofuata ni kuambiwa utoe pesa ili uanze kazi, ukitoa pesa kesho asubuhi utakapoenda kuanza kazi hiyo ofisi hutaikuta; utamkuta Mama mwenye nyumba anasukuma chapati na kukushangaa umeingiaje hapo kwake !!!!
 
kaka hyo co rahisi.wahuni wansemaga DONTOWN KITAMBO.
 
hao watu nawafahamu wapo cnza mori ukienda watakuambia upeleke50000 kama kianzio ndipo uanze kazi.
 
jaman habarini za mchana huu.kuna maajabu sana hapa mjini yaan kila kukicha watu wanatunga sera za utapeli tu ama ni nn? Leo nmeamka natumiwa sms kutoka katika kampuni ambayo siifaham wanadai eti maombi yangu wameyafikilia vizuri niende nkafanye kaz ktk muda wangu wa ziada.muda wa ziada kiaje? Hapa ndipo ninapoona kuna kamwanya ka utapeli.cjawahi kuapply hii kampuni halafu wanadai wako sinza.mmh....

Ni haya makampuni ya marketing ukiona hivyo jua kuna mtu anayekufahama kawapa namba yako maana ukienda pale wanakuomba kama una mtu unayemfahamu anayeweza fanya kazi pia uwape namba zake.
Matapeli tu ni wale wale wa kubeba vyombo na sabuni na madawaa na kupita nayo mtaani
 
aaaagh! walinipigia simu mara 2 nkawaambia nina kazi ya ziada ya kulea mtoto wangu baada ya mda wa kazi za kutajirisha mafisadi.
 
jaman habarini za mchana huu.kuna maajabu sana hapa mjini yaan kila kukicha watu wanatunga sera za utapeli tu ama ni nn? Leo nmeamka natumiwa sms kutoka katika kampuni ambayo siifaham wanadai eti maombi yangu wameyafikilia vizuri niende nkafanye kaz ktk muda wangu wa ziada.muda wa ziada kiaje? Hapa ndipo ninapoona kuna kamwanya ka utapeli.cjawahi kuapply hii kampuni halafu wanadai wako sinza.mmh....

we nenda tu, yawezekana mzee alisha talk nao sasa wanataka tu uka report, yaweza kua bahati yako hyo, usipuuzie, wasikilize ila uwe vere makini wasikuingize mjini
 
Nenda mkuu,utakuwa na bahati sana wewe,mi mwenzio nime apply kazi kwenye makampuni zaidi ya 30 wala sijaitwa hata kwenye interview,wewe mwenzetu hata huja apply unaitwa kazini!!!?
 
Wala usipoteze muda kwenda,hizo ni kampuni za madawa haya ya aloe vera,GNLD,TIENS, Oriflame!...wana tabia ya kutuma msg, sometime wanakwambia uende kwenye interview then ukienda unakuta ni mkutano wa wanachama na wanaanza kukushawishi uungane nao kusambaza madawa.
...Ila kama unataka nenda,huu ndo ukweli (speaking from experience)
 
Wajinga hao.hawa jamaa walishawai kunipigia simu nikawafata pale sinza morry opp na socer city bar. Kufika wakaleta umbea mara wametajirika,mara wameenda kuzunguka ulaya,firnaly wakadai 2toe laki moja na ishiri kama kiingilio. Ukiuliza swali wanakuchenga.DESI NYINGINE IYO MKUU''
 
jaman habarini za mchana huu.kuna maajabu sana hapa mjini yaan kila kukicha watu wanatunga sera za utapeli tu ama ni nn? Leo nmeamka natumiwa sms kutoka katika kampuni ambayo siifaham wanadai eti maombi yangu wameyafikilia vizuri niende nkafanye kaz ktk muda wangu wa ziada.muda wa ziada kiaje? Hapa ndipo ninapoona kuna kamwanya ka utapeli.cjawahi kuapply hii kampuni halafu wanadai wako sinza.mmh....

lazima itakuwa sinza mori hiyo.
 
Wala usipoteze muda kwenda,hizo ni kampuni za madawa haya ya aloe vera,GNLD,TIENS, Oriflame!...wana tabia ya kutuma msg, sometime wanakwambia uende kwenye interview then ukienda unakuta ni mkutano wa wanachama na wanaanza kukushawishi uungane nao kusambaza madawa.
...Ila kama unataka nenda,huu ndo ukweli (speaking from experience)

U are right, ni michongo ya GLND hao, wapo pale sinza mori kwenye mnara wa simu.
 
Back
Top Bottom