Recent content by N J subi

  1. N J subi

    JamiiForums Tanzania Timu ya Tanzania ya Watoto waishio katika mazingira magumu yashika nafasi ya pili katika Kombe la Dunia

    Mbona walishawi kushida ata sku za nyuma walingia tena na Brazil wale watoto wa mtaani wakabeba ndoo
  2. N J subi

    JamiiForums Tanzania Picha hii ndiyo ndinga mpya ya diamond!

    Hata Alikiba ajamiliki sema hapendagi show off tu
  3. N J subi

    JamiiForums Tanzania Looking for Partners+Investors kiwanda cha kuzalisha magari yanayotumia umeme na Gas

    Duh!! Mkuu kuna dogo flan ivi anaitwa ema niliona bideo yake yutube anapatikana nyang'hwale geita naye kaunda gari kwa ktumia vifaaa vya bajaji na gari pamoja na vyuma vingine na inatembea 120km/h kwaiyo fanya kumuulizia mwaweza endana kimawazo
  4. N J subi

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuhusu kufungwa kiwanda cha TBL Moshi?

    Hiki kishafungwa sku nyingi na kikakodishwa kwa chuo kikuu Tumain. Ingawa mpaka sasa sehwm huwa tu wanakitumia kama kuhifadhia na kusambaza bia zao lakin hawadhalishi. Ukifikapo ndipo kilipo STEPHANO MOSHI MEMORIAL UNIVERSITY COLLEGE ikiwa kama tawi la TUMAINI MAKUMILA UNIVERSITY
  5. N J subi

    JamiiForums Tanzania Yajue yote kuhusu mradi wa Blue Beam

    Wakuu ivi hamuwezi mkaunganisha mada zote zinazohusu new world order na new world religion mkaandika kitabu walau kiwafikie ata ambao hawapo hum ndani
  6. N J subi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Canaan alilaaniwa na sio Ham?!

    Mkuu hapo kwenye hitimosho nmepapenda sana tu.
  7. N J subi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saikolojia: Niulize chochote kuhusu wanawake

    Mkuu me kunademu angu anakataa kunipa gemu anasema mpaka ndoa saiv ni zaod ya miez mitatu yan hataki kabsaaa
  8. N J subi

    JamiiForums Tanzania Yajue yote kuhusu mradi wa Blue Beam

    Wakuu mbona mmekaaa kimya tena
  9. N J subi

    JamiiForums Tanzania Malaika kwenye kiwiliwili cha binadamu

    Duh!! Mkuu hii ni bonge la shule kwangu
  10. N J subi

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya utumwa nchini Libya

    Duh!! Mada muhimu kama izi yana sijui kwa nin tu huwa hazina wachangiaji
  11. N J subi

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mfalme Nimrod wa mnara wa Babeli

    Safi sana mkuu nazidi pata somo
  12. N J subi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imetimia wiki sijapiga punyeto

    Sawa hongera
  13. N J subi

    JamiiForums Tanzania Tupimane utaalamu wa kijasusi na upelelezi

    Huyo mwanamke kauawa kwa kupigwa lisasi kichwani upande wake wa kushoto Angalia kwa umakin alipolalia kwa upande wa kushoto kunadamu kwa chini imetoka . Na kulingana na mkono alivyoishika hiyo siraha asingeweza kujipiga mwenyewe upande wa kushoto na kubaki ameishikilia hapo chini. Hivyo basi...
  14. N J subi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilipotumiwa ujumbe uliosema "Njoo saa nne usiku mume wangu kasafiri"

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukimuona msalimie
  15. N J subi

    JamiiForums Tanzania Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

    Duh!! Asante sana mkuu kwa kunisutua nimejifunza kitu
Back
Top Bottom