JONATHAN MATONYA
New Member
- Feb 16, 2018
- 1
- 0
JE KUNA UKWELI WA KUFUNGWA KIWANDA CHA TBL MOSHI
Hata mm sijuiSijui
HahaaaaKnatengeneza bia gani
Kama Ni safari lager wasifunge please
Hivi TBl wana kiwanda Moshi?
Hata mm nashangaaHivi TBl wana kiwanda Moshi?
Shujaa na kvant zimetamalaki. Ukinunua shujaa ya jero ukiimaliza umezimaViwanda vyooote vitafungwa ila sio vya bia na sigara.ivi viwanda vinawateja watiifu kama askari jeshi.
JE KUNA UKWELI WA KUFUNGWA KIWANDA CHA TBL MOSHI
Usiisahau Burudani Mkuu si mchezo,Boda Boda wamehamia huko chupa ya mia8 tuu chaliShujaa na kvant zimetamalaki. Ukinunua shujaa ya jero ukiimaliza umezima
Halafu ka banana wine kanachomoza kiainaUsiisahau Burudani Mkuu si mchezo,Boda Boda wamehamia huko chupa ya mia8 tuu chali