zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,534
- 40,560
Kwa comments nazosoma humu kumbe JF ingepewa tenda ya kuchunguza wasiojulikana basi tungewakamata wote !!
Kiddin just 😀😀😀
Kiddin just 😀😀😀
KauawaKatika upelelezi wowote ule lazima
Uusishe, mazingira, tukio lilipotokea, na pia ulinganishe uhalisia wa mambo kama ni kweli au ni mazingira ya kutengenezwa kupoteza ushahidi
Ngoja tuone wataalam wa investigation hapa ... Eti huyu kajiua au kauawa? Chunguza kwa kina Toa sababu ya jibu lako...
Ana bastola mkononi
View attachment 767737
Kulikuwa na purukushani ndiyo maana huo waya wa kwenye soketi unaowasha taa umechomolewaKatika upelelezi wowote ule lazima
Uusishe, mazingira, tukio lilipotokea, na pia ulinganishe uhalisia wa mambo kama ni kweli au ni mazingira ya kutengenezwa kupoteza ushahidi
Ngoja tuone wataalam wa investigation hapa ... Eti huyu kajiua au kauawa? Chunguza kwa kina Toa sababu ya jibu lako...
Ana bastola mkononi
View attachment 767737
Uko sahihi,good interpretationMuuwaji alishoot akiwa upande wa kushoto wakati muuliwa akiwa amekaa akijisomea, anatumia mkono wa kushoto why pisto ashike kulia? Ukiangalia urefu wa damu ilpo na floor then assume muuliwaji akiwa amekaa kwenye hiyo stuli utagundua kama urefu wake vinafanana... so risasi ilipigwa toka kushoto ikatokea kulia ndio maana unaona upande wa kuliwa kichwa una bleed sana...
Swali moja kwako. Huyo Jane Doe ni left handed au right handed?huyo dada amejiua mwenyewe, nasema hivo kwa ushahidi huu
1. alikuwa hasomi hapo kwenye meza, kwanini? waya wa taa ya kusomea imechomolewa kwenye switch kwaiyo taa ilikuwa off
2. position yake kwenye kiti alikuwa aangalii dirishani kwa maana alikuwa asomi, yaani iyo meza na dirisha aliivigeuzia mgongo, kwaio iyo pisto alishia mkono huohuo wa kulia
3. pen na miwani hapo kwenye meza..., kama angekuwa anasoma anasoma basi angedondoka na miwani yake na mkononi angedondoka na peni yake
sijui nimeeleweka kwa maelezo haya?
right handedSwali moja kwako. Huyo Jane Doe ni left handed au right handed?
Kwa uelekeo wa damu za ukutani, inaonesha huyu mtu alipigwa na mtu aliyekuwa upande wake wa kushoto na risasi kutokea kulia na kuacha blood shed kwenye ukuta, kama pistol ingekuwa mkono wa kushoto tungeweza kuamini kiasi flani inawezekana amejiua ila kwa kuwa ipo kulia lazima blood shed isingetokea upande wa kulia ilipo pistol. Kingine uangukaji wa kiti,kimeangukia kulia baada ya kusukumwa na nguvu ya risasi iliyompiga marehemu kutoka kushoto kwenda kulia, kama angejipiga mwenyewe ni lazima kiti kingeangukia kushoto badala ya kuliaKatika upelelezi wowote ule lazima