Recent content by mzuriwatabia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Bagamoyo

    Ni pm mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Bagamoyo

    Nina kiwanja kimepimwA kina offer kina sq 700 bagamoyo ukuni (ugeni) karibu na barabara na Nina kiwanja kipo mkabala na ilipokuwa kilomo hotel kwasasa ni chuo ...ni pm kwa mawasiliano na maelezo zaidi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa mil 2.9 nap okra installment

    Mazda demio year 2000 rangi nyekundu cc 1200 haijawahi kushushwa engine plate number bf... Call 0658482228
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kupasulia mbao

    husqavarna 272 pm nikuelezee
  5. M

    JamiiForums Tanzania usiseme sijakwambia!!

    ni pm mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja barabarani kinauzwa

    hujalazimishwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sikiliza na download wimbo mpya wa Ali Kiba - Mwana

    :flame:kimondo kwa domoooooo:A S wink:salut u kiba
  8. M

    JamiiForums Tanzania mi mzuri wa tabia sio sura...hodiii

    Ni chainsaw..mashine ya kukata miti na kupasua mbao aina zote
  9. M

    JamiiForums Tanzania Beef Zilizowahi kutikisa tasnia ya Bongo Fleva

    Hahahaahahaha ray c na zamaradi na kauye na cabby na neyonce na mwasiti na faudhia na janerose na linah na jaydee narecho na angel duh n.k n.k .nk list ndefu sana ya waliopo kwenye bifu kwa ajili ya bepari RUGEMARILA MUTAHABA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Husqavarna 272 inauzwa bei poa

    Kwenu mnapikia nini?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msipende umaarufu jina tu, heshima nyumba

    Sio lazima kila jambo uchangie! Ukinyamaza utalinda heshima yako...sasa kama unapaona mbali unacomment nini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msipende umaarufu jina tu, heshima nyumba

    Hatua 20*20 ..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msipende umaarufu jina tu, heshima nyumba

    Njoo ununue kwangu kiwanja bei rahisi tu mil 4 kipo bagamoyo barabarani..next to kiromo hotel(hoteli ya nyota tano).ni p.m usiache fursa hiyo ndugu
  14. M

    JamiiForums Tanzania usiseme sijakwambia!!

    Kwa unayetafuta kiwanja lakini unakumbana na bajet zinazokuwa juu kuliko mfuko wako usiwe na presha! Nauza kiwanja changu kilichopo bagamoyo kiromo...kipo barabarani next to kiromo hotel yenyewe chenye ukubwa wa hatua 20*20 ..unajenga nyumba yako ya vyumba vitatu unatulia...pamejengeka na wala...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja barabarani kinauzwa

    Kiwanja kipo barabarani bagamoyo karibu na KIROMO HOTEL.. kina ukubwa wa 20*20 (hatua) umeme na maji vipo karibu na gari inafika mpaka kiwanjani...watu wamejenga (uzunguni)..nyumba ya vyumba vitatu inasimama bila wasiwasi...ni pm au comment hapa for more details.
Back
Top Bottom