Husqavarna 272 inauzwa bei poa

Husqavarna 272 inauzwa bei poa

Bei mkuu,
kitu ya china, brazil au swiden.
Picha kama hutojali
 
Bei mkuu,
kitu ya china, brazil au swiden.
Picha kama hutojali

Husqavarna 272 chainsaw ni product ya sweden lakini niliinua marekani mwaka huu kwa husqavarna dealers in Calfornia .naiuza 945,000 elfu
 
Mtatumalizia misitu. Pandeni miti kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom