mzuriwatabia
Member
- Jul 9, 2014
- 27
- 2
Kwa unayetafuta kiwanja lakini unakumbana na bajet zinazokuwa juu kuliko mfuko wako usiwe na presha! Nauza kiwanja changu kilichopo bagamoyo kiromo...kipo barabarani next to kiromo hotel yenyewe chenye ukubwa wa hatua 20*20 ..unajenga nyumba yako ya vyumba vitatu unatulia...pamejengeka na wala si eneo lenye mabonde ni tambarare na upepo msafi asikwambie mtu (sio uswahilini).. good news ni kwamba nakiuza bei affordable kwa mtanzania yeyote wa hali ya kawaida mwenye nia ya dhati ya kumiliki ardhi(MIL 4) TU! Umeme na maji vipo around na gari inafika kwasababu sehemu yenyewe ipo karibu na barabara...karibu --