Recent content by MzunguMweusiTii

  1. MzunguMweusiTii

    Usahihi Kuhusu Nembo Anayotumia Rais Samia Suluhu

    Elimu nzuri. Wengi wanapata elimu hata kama hawatokiri kwa sauti.
  2. MzunguMweusiTii

    Waziri Ummy aagiza usajili zahanati 10 zilizojengwa kwa nguvu za wananchi iItilima

    Na Mwandishi wetu Itilima, Simiyu Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameagiza kukaguliwa na kusajiliwa kwa zahanati 10 zilizojengwa kwa ushirikiano wa nguvu za wananchi Wilayani Itilima. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha Wananchi Wilayani Itilima wanapata huduma za afya karibu na mazingira...
  3. MzunguMweusiTii

    Tundu Lissu anahamasisha vurugu nchini kwa kuwa watoto wake Wana Uraia wa Marekani?

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni kuwa Tundu Lissu anahamasisha vurugu nchini. Anatoa maneno ya kuchochea ubaguzi na kuligawa Taifa. Anachochea chuki mioyoni mwa Watanzania, kupandikiza mbegu za udini na ukanda nchini. Anamtusi Rais wetu na Taasisi ya Urais kwa kuwa kwa sasa hana cha...
  4. MzunguMweusiTii

    Rais Dkt Samia Alivyomfuta Machozi Mjane Aliyesaka Haki Yake Kwa Miaka 14

    Moja kati ya wateule bora wa Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni Mh RC Mndeme. Katatua changamoto hii ya ardhi kwa muda mfupi sana na imani yetu ni kwamba atazidi kutatua migogoro hii ya Ardhi Shinyanga. Shinyanga imekuwa na migogoro ya Ardhi muda mrefu ambapo migogoro mingi ilisababishwa na...
  5. MzunguMweusiTii

    Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

    Zama za uongozi wa imla zimepita. Sasa kasimu haendani na kasi ya ujenzi wa taifa. Asepe tu
  6. MzunguMweusiTii

    Rais Samia amerejesha uhuru wa kujieleza na kutoa maoni bila woga

    Tatizo waTanzania wengi wanaponzwa na kutokufuatilia mambo, na kuamini kwa haraka maneno ya wapinga serikali. Kwa majadiliano ya bunge leo hii, ni mwendawazimu pekee ambaye atabaki na hofu juu ya uwekezai mkubwa ambao serikali ya awamu ya sita inaenda kuuweja bandarini ikishurikiana na serikali...
  7. MzunguMweusiTii

    Upekee wa bajeti ya kwanza ya serikali ya rais Samia mwaka 2021/2022 iliyokaguliwa na CAG

    Naunga mkono andiko hili kwa 100% wengi ripoti ya CAG wanaisoma kwa kuangalia hasara tu zilizoorodheshwa hata hawafuatilii chanzo cha hasara hizo. Na hatuangalii archievements za serikali kwa kipindi hicho.
  8. MzunguMweusiTii

    Rais Samia Awatakia Ramadhan Njema waislam wote

    Nawatakia Waislamu wote Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Katika mwezi huu wa ibada na toba tuendelee kuiombea nchi yetu amani, upendo, mshikamano, utulivu na haki; nguzo zenye kuleta ustawi zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu. Ramadhan Kareem. - Dkt Samia Suluhu Hassan. #MamaYukoKazini...
  9. MzunguMweusiTii

    Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

    Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO. Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa. Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni...
  10. MzunguMweusiTii

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Umejuaje kuwa umeshinda? Kama umeombwa au umetuma pesa kiasi chochote, tayari ushapigwa na watoto wa mjini
  11. MzunguMweusiTii

    Uume umesimama toka juzi mpaka hivi sasa baada ya kula dawa ya mtaalamu

    Hongera kwa kuchoka kutambaa na kuamua kusimama, uume umekaribia kuanza kutembea.
  12. MzunguMweusiTii

    Kioo cha Vodafone 3G tablet kinahitajika

    Wadau, nahitaji kioo cha vodafone 3G tablet. Nitapata wapi na kwa bei gani?
  13. MzunguMweusiTii

    Nani alaumiwe endapo CCM itashinda jimbo la Kinondoni na Siha?

    Alaumiwe LOWASSA kwa kwenda kunywa chai Ikulu na kuwauza wapinzani
  14. MzunguMweusiTii

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    mwalimu, nina kivodafone tab 3G cha Vodacom network pekee.. ila hali ya sasa kama ujuavyo. vyuma vimekaza kidogo
Back
Top Bottom