Recent content by Mzozo wa Mizozo

  1. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania Meli ya mizigo yazama Tanga

    Bahari imechafuka...wnadugu jihadharini kwa usalama...
  2. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali dhidi ya kampuni zitakazo sababisha ajali...

    Kwa hiyo kimsingi waliosababisha ajali kutokana na uzembew wa waziwazi wamesamehewa?
  3. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Nape Lyatonga Mrema.
  4. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa Kipanya

    Hii safi sana.... sasa tunahitaji kuwa na mwamko kidoooogo.
  5. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania UDSM yashuka kwenye list ya 'Top African universities'

    Yaani katika Top 100 Tanzania tuna Chuo kimoja tu? Khaa ina maana hivi vingine tunaviita vyuo vikuu ni Nursery?
  6. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania UDSM yashuka kwenye list ya 'Top African universities'

    Nadhani haya ndio matunda ya Taifa kutokuwa na vipaumbele na serikali kuongoza nchi kwa ushabiki.
  7. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania Nimezipenda solution za January Makamba kiukweli

    Bado sijamwelewa yeye na jumuia/kamati yake...
  8. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA kuhusu Mabomu ya Gongo la Mboto

    Ngoja tunasikia tu mabalaa...!
  9. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania Mwitikio wa Wananchi juu ya Mlipuko wa Mabomu Gongo la Mboto

    Daah kama vipi si tufanye kwenda saka mechi tu na nchi za jirani...mbona tunakaa na kufanyana vibaya wenyewe kwa uzembe wetu?
  10. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania January Makamba akataa bahasha za milioni moja za "Lunch"

    Lunch ya milioni moja? daah... staki jua zaidi.
  11. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania Pete hizi mikononi mwa viongozi wetu wakuu ni za nini?

    Hahahah Labda ni za ndoa...
  12. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania Sihitaji kura za wafanyakazi (T-shirt Ziko Mitaaani)

    Hii kazi nzuri sana...sasa kuna haja ya hizo tshirt kuwa na maandishi makubwaaaaaaaa!!!! yaani hata mtu yupo mita mia aweze kusoma na yasiwe ya kufichika fichika...
  13. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania Kwa kina kaka wote(wanaume)

    Hahaha sasa hapa sijui ni nini kinaongelewa maana si inajulikana wazi wazi kwamba si unatakiwa pigania haki zako kwa njia yoyote unayoona inafaa ama?
  14. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania Uvaaji wa kondomu kama vazi

    hahahahha duuu hii mikitu not recomended kitaa.
  15. Mzozo wa Mizozo

    JamiiForums Tanzania King crazy gk

    Hahahaha naona Nguli kwa makusudi umeamua kumpotosha Zion...ona sasa...LOL! Buji wll husiana na huyu jamaa ni kwamba yupo tu sema upepo wa mafanikio unatembea against yeye...sema nadhani kuna juhudi binafsi zinafanyika kuhakikisha ya kwamba kijana anarudi katika ramani ya bongo...
Back
Top Bottom