Meli ya mizigo yazama Tanga


Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,611
Likes
5,120
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,611 5,120 280
Dah mbona inasikitisha hivi........majini na nchi kavu matatizo
Angani ndege zinashindwa kutua kisa umeme hakuna kila mahali matatizo!
Labda inahitajika KAFARA..
 
ntamaholo

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
11,556
Likes
3,106
Points
280
ntamaholo

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
11,556 3,106 280
duh...hali ya bahari vipi wadau
mzee wa kifaduro, ni mwaka wa shetani huu, ndo tunaelekea kuazimisha 50yrs of independence. labda kwako huo ndo uhuru. si huwa unatetea kila kinachowahusu ninyi watawala?
 
Dr-of-three-Phd

Dr-of-three-Phd

Senior Member
Joined
Oct 20, 2010
Messages
196
Likes
3
Points
35
Dr-of-three-Phd

Dr-of-three-Phd

Senior Member
Joined Oct 20, 2010
196 3 35
Habari kutoka Supper Mix ina-report hivyo!

Any one with crew!
 
Invisible

Invisible

Admin
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,103
Likes
620
Points
280
Invisible

Invisible

Admin
Joined Feb 11, 2006
9,103 620 280
Habari za ajali soon zitazoeleka kama ilivyo kwa UFISADI, KUKATIKA UMEME, KUPANDA (OVYO) KWA GHARAMA ZA MAISHA...

Nawapa pole walokumbwa na dhahma hii, inasikitisha sana
 
Ikumbilo

Ikumbilo

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Messages
460
Likes
10
Points
35
Ikumbilo

Ikumbilo

JF-Expert Member
Joined May 14, 2010
460 10 35
SUMATRA Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, wamesinzia, wanasubiri kupewa madesa ndio wakague meli na mabasi.
 
Vin Diesel

Vin Diesel

JF Gold Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
8,710
Likes
1,259
Points
280
Vin Diesel

Vin Diesel

JF Gold Member
Joined Mar 1, 2011
8,710 1,259 280
Na yenyewe ilizidisha mzigo? au mabaharia walizidi badala ya kuwa watatu wakawa saba.
 
Barubaru

Barubaru

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2009
Messages
7,160
Likes
38
Points
0
Barubaru

Barubaru

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2009
7,160 38 0
Inna Lillahi wainna Illaihi Rajihunna
 
Zasasule

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Messages
1,007
Likes
14
Points
135
Zasasule

Zasasule

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2009
1,007 14 135
tujiulize ni kwa nini haya matukio yanatokea? je ni njia gani zitumike,yapi yakurekebisha ili yasitokee tena?
 
nzitunga

nzitunga

Senior Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
193
Likes
2
Points
0
nzitunga

nzitunga

Senior Member
Joined Oct 31, 2010
193 2 0
Tusishangae,tushangae UBORA WA MELI
Hii ni hatari kwelikweli! Vyei sita vya juu vya SUMATRA walipaswa kujiuzuru mara moja kupisha wao wenyewew kuchunguzwa utendaji wao wa kazi!
 
Kaka

Kaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
738
Likes
283
Points
80
Kaka

Kaka

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
738 283 80
Na tukumbuke kuwa Bwana Mungu wetu anatupenda sote, na ndio maana ametupa limwengu huu tuutawale, nasi tunafanya kinyume cha maagizo yake yote kwa kukaidi.
 
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
13,491
Likes
2,435
Points
280
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined Oct 4, 2007
13,491 2,435 280
ina
wezekana imechafuka au haijakaa sawa mkuu au bahari inajifanyia matambiko
Mkuu mbona matambiko mengi tu!! Baharini huko Zanzibar na Tanga, jana tumesikia nchi kavu huko Morogoro bado Reli tumalize mzunguko wa SUMATRA . Nchi yangu inaangamia kwa kukosa maarifa!!
 
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
13,491
Likes
2,435
Points
280
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined Oct 4, 2007
13,491 2,435 280
ok boti..soma vizuri bandiko langu nimeandika meli/boti siana mda wa kuanza kuchambua wewe jua tu kuna chombo cha baharini kimezama hata kama kimebeba mtu mmoja lakini ni roho za watu kimebeba ..hizi roho zenu mbaya na dharau zitawaua ..nakujua sana wewe ndio Lundega
Akanushe!!!
 
Papa Mopao

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Messages
3,409
Likes
460
Points
180
Papa Mopao

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2009
3,409 460 180
Kama kuna kiongozi yeyote yule anawasiliana na utawala wa giza, haya mambo ya ajabu ajabu lazima yatokee....
 
Mzozo wa Mizozo

Mzozo wa Mizozo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2008
Messages
427
Likes
0
Points
33
Mzozo wa Mizozo

Mzozo wa Mizozo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2008
427 0 33
Bahari imechafuka...wnadugu jihadharini kwa usalama...
 
M

mfngalo

Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
87
Likes
0
Points
13
M

mfngalo

Member
Joined Aug 13, 2011
87 0 13
Hizo ni fununu nazo sikia kutoka kwenye chombo cha habari kimoja hapa Tanzania, bado wanazidi kufatilia
2taendelea kujuzana na mtu akipata habari kamili atujuze
 

Forum statistics

Threads 1,263,428
Members 485,913
Posts 30,151,144