Kwa kina kaka wote(wanaume) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kina kaka wote(wanaume)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, Mar 30, 2010.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani hili mi naona kila mwanaume analo,kwa nini pindi ikitokea mwandani wako akikunyima haki ya ndoa lazima kuwe na UGOMVI either wa chini chini au live na ikitokea ukanyimwa two times au zaidi hapo lazima useme kwa nini inakuwa hivi na moyoni ukiwaza huenda amepata mwingine?Je kama mwenzio hana hiyo hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa nini huwezi muacha tu mpaka useme na kufikiria mengi namna hivyo?ni hoja tu yangu....
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red; unaweza kuthibitisha hilo? Ulishanijaribu mimi?

  Kwenye blue: Unaponyimwa HAKI YAKO kama ulivosema, hupaswi kuidai?

  Kwenye black: Umeolewa ili ukaimbe kwaya kwa mmeo?
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Binamu bwana una maswali kama liafande la geshi
   
 4. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Uthibitisho ni kuvunjika kwa ndoa nyingi bila sababu....je kama mwandani wako hayuko tayari na hajisikii kufanya tendo la ndoa kwani hapaswi pia kusma leo au kesho hana hamu?hata yeye pia ana haki ya kutokujisikia kufanya hilo tendo wakati mwingine.....
  ...je ulipomuoa ulimaanisha ni mkeo kwa ajili ya kufanya tendo la ndoa tu?je kwako kufanya tendo la ndoa ndo inamaanisha anakupenda?tendo la ndoa hunoga endapo pande mbili husika zanashiriki kikamilifu,je kama umeforce litaitwa kweli tendo la ndoa au mchezo wa ndoa?
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  Dah!

  Sijui ni kiswahili kinanipiga chenga au? Hapo kwenye red unasema ndoa zinavunjika BILA SABABU. Je BILA SABABU kwa lugha nyingine ni kunyimwa haki ya tendo la ndoa? Una uthibitisho wowote kuwa KUNYIMANA tendo la ndoa ndio chanzo kikuu cha kuvunjika ndoa?

  Hapo kwenye blue: Kama si tendo la ndoa kwanini hatuwaoi dada zetu? Kwa sababu hujui, ngoja nikusaidie kidogo. Sababu kuu ya kwanza kabisa ya watu kuoana ni KUMEGANA KIJUMLA NA KIHALALI!
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Kwisha......! Umemaliza...........! Kwani wao mimi mwanaume nikiwa sitimizi hata kwa kipindi fulani tu, tayari sababu za kumtafuta msaidizi! Kama hataki hayo akubali mke mwenza...! Otherwise, no comment any more.
   
 7. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tendo la ndoa ni kuridhiana ili mkikamilisha kila mtu anamshukuru mwenzie na kufurahiaaa.....utajisikiaje iwapo unamdandia mwenzako huku amenunua siyo kama ulivyozoea??? utasema katembea nje ya ndoa kumbe ni muhemko wako tuuuu
   
 8. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Rudi nyumbani ukawaulize wazazi/walezi wako nini maana ya ndoa, mengine ni mapambo tu. Kwa hili mi naona ndoa yako iko njiani kuvunjika, jihadhari tafadhali.
   
 9. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ukweli ni kwamba, MWANAMKE HANA MAMLAKAJUU YA MWILI WAKE. NA WEWE NI HIVYO HIVYO. Anapokunyima, lazima kuna sababu ya msingi. Kama sio ya msingi ndipo maswali huanzia hapo.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  Well said kiongozi! Now she can read it again and again!
   
 11. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2010
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaha sasa hapa sijui ni nini kinaongelewa maana si inajulikana wazi wazi kwamba si unatakiwa pigania haki zako kwa njia yoyote unayoona inafaa ama?
   
 12. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mmhhh kazi ipo... sasa hii sio ndoa ila karaha.... making love suppose to be enjoyable for both...sio mambo ya mamlaka sasa
  hapo utamiliki vipi mwili wa mwemzio.... na kama mwanamke ana headache or stomach ache or not in mood... utamlazimisha? i thought mwanaume ana enjoy zaidi akimuona mwanamke ana enjoy...:rolleyes:
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  Noname mambo?

  Nimekumisi upeo.
   
 14. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Safi Chrispin thanks for asking... Vipi mzima wewe?

  ooow thats soo sweet of u.. hata mie nimekumis...:)
   
 15. T

  Tall JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Haifai kukasirika au kuzua ugomvi ukinyimwa sababu;
  1.Inawezekana kabisa wakati huo hayupo tayari kuna kitu kinamsumbua kichwani,WANAUME TUSIWE WABINAFSI.mtu hataki unalazimisha,si kubaka huko?
  wala usimuulize kwa nini hataki, endelea na mambo mengine,piga push up kama 100 hivi ruka kichura chura ,abdala kichwa wazi atalala,na kama alikuwa anakutest akikuona unavyohangaika kumtuliza jamaa,utasikia akisema'basi njooooo'. eeeeh mwanangu,Taratiiibu mzee mwenzangu unaingia bafuni,unaoga ukitoka huko kazi moja.
  2.Raha ya mapenzi ni pale mwanamke anapohitaji,mara afanye kituko hiki mara hivi,
  au akueleza live kuwa sasa nataka,sasa hapo jamaa yangu wala usipoteze muda,
  kazi moja tu..............
  3.Inawezekana kabisa,labda shauri ya joto kuna viupele au mchubuko fulani,eeeeh
  hadi akuambie,we unataka tu,hayomapenzi......au mateso.
  4.Ila akigoma mfululizo zaidi ya wiki moja hapo sasa omba akupe sababu.
  5.Ile mikambaku na mibeberu huwapanda ng'ombe na mbuzi wakati wako kwenye heat tu.
  usikasirike wala usimlazimishe kama mwenzio hataki.wala huta faidi.
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hebu vaa viatu vyetu; Wewe uwe ndio Mama; hujamegwa na mumeo kipenzi kwa zaidi ya miezi 2; bila ya sabau yoyote hajakutamkia kukhitaji kimapenzi licha wewe kumweka katika hlai hiyo; yaani unamvalia khanga moja; unamkalia mikao ya kihasara ili mradi unajaribu kuzivuta hisia zake zote lakini wapi no responce! Unavumilia na baadayeunajitutumua kumuuuliza Mumeo mpenzi huku umemkumbatia; anakujibu kuwa anachaoka sana siku hizi; kumbuka hiyo Jumamosi usiku na alishinda home karibu siku nzima! Isitoshe leo kichwa kinamuuma na ahajisikii; wewe uko hoi yaani unatamani hakata akuingize kidole chake tu ufike kileleni lakani anakujibu kukutimizia wewe peke yako si sawa usubiri hadi naye ajisikie........unauliza lini...anadai atakuambia na anageukia upande mwingine dk 2 baadaye anakoroma!

  Nakuapia hapatalalika hapo; Mumeo wa ndoa akufanyie hayo?:mad:

  Mnatutesa sana wake zetu; na hii nasemea wanawake wote wenye maamuzi na majibu kama haya kwa waume zenu! You are simply driving us to the wall na nikishafika huko basi wewe subiri retaliation yangu coz am Mad like hell!

  Hell Yeah! kwa nini nisianzishe ugomvi; umenivalia pedi wiki tatu eti damu zinatoka kidogo kidogo! Jamani wiki 3 hebu tusaidieni wataalamu hapa! Na siku utakayokuwa safi eti unaumwa kichwa mara sijui mshono kwa wale mliojifungua kwa operesheni! AAAAAAAAARGH!

  Lazima mwelewe kuwa Sex in Marriage ndio top most satisfaction; ndio NDOA hayo mengine yanajengewa na msingi huo sasa kama hili halitimizwi kwa sababu zisizo za kimsingi lazima hiyo ndoa ina kasoro!
   
 17. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Kwani nilipokabidhiwa "niliazimwa" au "nilipewa"? Kama nilipewa, basi ni haki yangu..........! Hata nikipewa mara moja na kunyimwa ya pili (on the same day/night), lazima sababu pia niipate kwamba kwanini moja leo, na sio 2, 3, 4...... Sembuse siku nzima? Kwanini nisijue kinachoisibu sehemu ya mwili wangu? Hata kama ni vipele, si mimi wa kuweka dawa kama inahitajika? Mimi naona una lako bana.....!
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  Hayo yote nayahifadhi moyoni mwangu.
   
 19. bht

  bht JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  na mengine kwenye mafaili eeeh?
   
 20. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  aha kweli bana wiki 3 is too much... I was talking about one to 3 days.... that kind of woman is either very cold au anataka kukukomoa... u know what am saying?
   
Loading...