Recent content by Mziwandawamama

  1. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Nimeishia kuponea kwa malaya tu wanaojiuza

    Asante sana umemaliza
  2. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Kanda ya Kaskazini

    Weee tema mate chini muogope mungu.kuna mzizi mmoja unaitwa mkongolo kama sikosei ni maarufu sana kaskazini na shughuli yake wakaskazini wenyewe wanaijua.
  3. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Kanda ya Kaskazini

    Ndugu umepovuka lakini yafaa utambue kuwa mtu mwenye kuwaza mbali hakumbatii kukaa sehemu moja akiamini atatosheka pale bali hujitanua kwa kwenda huku na kule kutafuta zaidi na kujiwekeza zaidi. Mfano mzuri ona wazungu na wachina walivyojaa Africa na sehemu zingine sio kwamba kwao hakuna fursa...
  4. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Kanda ya Kaskazini

    [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]uko vizuri
  5. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Labda Moshi inaongoza kwa ulevi

    Mkuu hapo umeongeza chumvi tena nyingi
  6. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Unamuachaje Mzazi Mwenzio?

    Aiii wewe sio vizuri mwache mtoto wa mwenzio ni kipindi cha mpito tu yatakwisha
  7. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mwanaume mwembamba na mnene katika mapenzi

    Wewe ishu sio wembamba au unene ishu ni aweze kutomba vizuri tu mengine yatarekebishwa baadae
  8. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    Pole sana unahitaji maombi
  9. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

    Mmmh huku mbali umefika sasa mbona vile vitwinz vina unasaba sana na mzee I can?hebu kavichunguze tena
  10. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Leo mchepuko unakuja

    Miss kwenye ubora wako
  11. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Hamisa Mobetto

    Pamoja mkuu
  12. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Hamisa Mobetto

    Hamissa tu ndo anastahili ushauri sio?haya bana. Ila ungekua fair kama ungetoa Ushauri pia na kwa upande wa pili
  13. Mziwandawamama

    JamiiForums Tanzania Nimeimba wimbo huu, najua kuimba au sijui, naomba ushauri

    Nzuri
Back
Top Bottom