Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Mkuu uligonga mwamba?Duh hamna hata ka wine kadogo?


....kweli Miss Natafuta akibana ni amebana kweli!Mkuu uligonga mwamba?Duh hamna hata ka wine kadogo?


....kweli Miss Natafuta akibana ni amebana kweli!Mkuu una Vidole vigumu unaonaje ukiomba Zabuni ya Upimaji Tezi dume huko Dar.



Sasa unamkaribisha huyo kwani juli ameshaondoka?Mtamu balaa njoo
Mkuu mie nipo tayari tuoane siyo nikuoe. Kwa madiko diko hayo mbona ni zaidi ya limbwata????Nioe basi Mkuu ule madikodiko
Hapa cha mtotoMkuu mie nipo tayari tuoane siyo nikuoe. Kwa madiko diko hayo mbona ni zaidi ya limbwata????
Duh fungua pm Miss Natafuta tuanzishe couple mpya townHapa cha mtoto
Amenibania chura sina hamu nae!Duh fungua pm Miss Natafuta tuanzishe couple mpya town
Mkuu Behaviourist naomba usinitinge mtoto Miss Natafuta kanizimikia leo na mie sifanyi ajiziAmenibania chura sina hamu nae!
hahahaAsipo tangaza uchumba mroge tuu
Mkuu una Vidole vigumu unaonaje ukiomba Zabuni ya Upimaji Tezi dume huko Dar.


aiseeHaaahaa mkuu io sio kachumbari bhanaI always thought your single, kumbe na mchepuko juu... lol
Chakula kizuri,
hapo kwenye kuku na matunda aisee mngenifukuza.
Kachumbari bado kidogo tho umejitahidi.
Hatujaona drinks.
Mashikolo Mageni.... LoLHaaahaa mkuu io sio kachumbari bhana



Bakisha hilo salad mkuu nitalifuataSijadowload kitu realView attachment 753552
Ili kuwe na mchepuko, lazima kuwe na njia kuu... OTHERWISE .. single hanaga mchepukoI always thought your single, kumbe na mchepuko juu... lol
Chakula kizuri,
hapo kwenye kuku na matunda aisee mngenifukuza.
Kachumbari bado kidogo tho umejitahidi.
Hatujaona drinks.
Nani kasema?Ili kuwe na mchepuko, lazima kuwe na njia kuu... OTHERWISE .. single hanaga mchepuko