Tofauti kati ya mwanaume mwembamba na mnene katika mapenzi

Tofauti kati ya mwanaume mwembamba na mnene katika mapenzi

Ninachofahamu ni kwamba wanawake wanatupenda zaidi sisi wanaume wembamba hasa tulio na miilia iliyojengeka kimazoezi.

Na sababu kubwa ni ukweli usiopingika kuwa tu wanyumbulifu,watundu,wabunifu na wenye pumzi pindi tuwagegedapo vilevile mishedede yetu ni mujarabu.

Sasa mabonge vitu hivi adhimu hawana ukijumlisha na vibamia vyao basi ni majanga matupu.
Mabonge mapovu sitaki mimi nimemjibu mtoa mada.
ushahid ni humu JF jaribu kupitia post za wadada wanao tafuta wapenzi hautaona mwanaume mwembamba anaitajika
 
Akili za akina mama huzijui wewe....
Wao huamini mwanaume mnene,na mambo yake manene yaani safi! na mwanaume mwembambaaa ni njaa kali...teh teh teh nakutania tu mkuu
 
Hii inawahusu wadada wanaume mnajibu kwa kiherehere tu. Kaeni kimya kama mm.
 
Yani mwanaume mnene kitendo cha kunitongoza tu mdomoni koote nakua nmejaa mate utadhani nina ujauzito kiukweli hapana..wanaume wanene mniwie radhi
Asante! Ata siye tunawapenda wote mnaopenda wanaume wembamba!
 
Mnene na waleti pia ni nene[emoji3][emoji3]mwembamba nayo waleti nyembemba chezea mademu wa sikuizi wew!!!! utaliwa kijana[emoji51][emoji51][emoji51]
 
habari zenu

kuna swali huwa najiuliza ila bado sijapata jibu,nmeamua kuwashirikisha huwenda mtanisaidia kupata jibu.

ningependa hasa kupata jibu kutoka kwa wakina dada kwani wao ndio wahuska wakuu..ila pia si mbaya ata wakina kaka wenye experience wakinijibu.

swali: hivi kwanini wadada wengi wanao tafuta mchumba(mpenzi) hawapendi wanaume wembamba?
wanaume wembamba wana nini na wanaume wanene wana nini hasa cha kupendwa zaid??
Wewe ishu sio wembamba au unene ishu ni aweze kutomba vizuri tu mengine yatarekebishwa baadae
 
Akili za akina mama huzijui wewe....
Wao huamini mwanaume mnene,na mambo yake manene yaani safi! na mwanaume mwembambaaa ni njaa kali...teh teh teh nakutania tu mkuu
Kwa upande mwingine upo sahihi wala si utani
 
Dogo usiwe na Kichwa Kizito, Unene na Wembamba unaomaanishwa ni wa Mfuko!
 
Back
Top Bottom