Recent content by Mziwanda Mwafrika Chilas

  1. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    7. Umasikini (familia ya Mzee komba) 8. Dini (kwa namna gani dini inaweza kutumika kuficha au kutekeleza maovu){iddy na baba yake}
  2. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Higgno! Alikuwa anyonye masikio na shingo ya huyo mtoto na zile nipples zake Hadi zibadilike rangi. Amemkisea sana huyo mtoto!!
  3. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

    Ni padri lakini ukitoa upadre wake alikuwa na Karama ya kuombea watu ambayo alikuwa anaifanya kwa misingi ya kanisa katoliki.
  4. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

    Hapana kile ni kituo Cha Sala za maombi sio kanisa japo Misa zinadhimishwa pale Kila siku na mapdri mbalimbali kutoka nje na ndani ya nchi. Na mapdre wengi hapa nchini hawapongani na huduma zake coz ni sala zile zile zinazosaliwa na kanisa katoliki. Nasema sio kanisa kwa misingi ya kanisa...
  5. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

    Kwenye ukatoliki Kuna makundi mawili ya kiimani. Lile la kimapokeo (ukatoliki wa kisasa) ambalo ndani yake unakuta hao charismatics/uhamsho ambao wanafanya ibada zao kwa mtindo wa kilokole kama mambo ya kunena kwa lugha na vitu vingine vingi ambavyo baadhi ya wakatoliki wenyewe wanapishana...
  6. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Taarifa za Kampuni Yoyote

    Hii njia inafanya kazi kwa kampuni hata zilizo nje ya nchi/au zilizosajiliwa kwenye nchi nyingine?
  7. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusafirisha mizigo kwenda kusini ipo na demand kubwa sana tunaweza kuungana kuifanya hii biashara

    Kwa uzoefu wangu njia ya Dar-lindi-mtwara kwa biashara ya kusafirishia mizigo kutokea dar inawezekana. Ngoma ngumu ipo jinsi ya kutoka kule kurudi dar ndio changamoto kubwa. Ikumbukwe mikoa ya kule haipo kibiashara sana kwenye mazao, Sasa changamoto unaweza ukapeleka gari alafu ukajikuta pesa ya...
  8. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na biashara ya Samaki naomba mwongozo hapa

    Me niwahi kufanya biashara ya kusafirishia wafanya biashara wa samaki wabichi kutoka Ziwa Rukwa to D.S.M pale Riverside- ubungo. Nitajaribu kushare kitu hapa uone mchakato. Ila angalizo ni moja ya biashara risk sana. Inaweza kukutoa siku moja na inaweza kukumaliza mtaji siku moja.
  9. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania Maisha ya depo

    mHAMAS-shaji unatukatili sana mzalendo. Kila nikichungulia Uzi hakuna update mpya. Tufanyie mpango arosto imezidi.
  10. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania Ilikuwakuwaje ukajikuta unaabudu katika hilo kanisa au msikiti?

    Nilizaliwa kwenye familia ya kikristo kwa upande wa baba na mama. Na mimi nikafuta Imani hiyo hiyo na kuabudu katika dini wanayoiamini wazazi. Huku nikiamini kuwa Mwenyenzi Mungu anamakusudi na Mimi Hadi kuzaliwa katika dini hiyo.
  11. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Asante kwa ufafanuzi ndugu MUBENDE barikiwa sana. Vp kuhusu soko la wazarishaji wa nyama hapa nchini mfano Hawa frostan limited, nguru hill ranches? Je, Kuna utaratibu wowote wa kuwafikia kuweza kufanyanao biashara? Hakuna urasimu wowote? Je, kwa wafugaji wa kawaida Kuna kipi kinahitajika ili...
  12. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Natamani kufahamu experience ya wafugaji wa mbuzi juu ya soko lake lipoje. Kwa maana uhitaji wake sokoni? Changamoto zake kwenye soko hasa kwa haya makundi mawili ya mbuzi kwa maana mbuzi wa asili na mbuzi wa kisasa ikoje? (Competition ikoje sokoni) Vp kuhusu bei ya soko kwa maana nimeona hapa...
  13. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania Nina gari mitsubishi canter tani 3.5. natafuta kazi ya kubeba mizigo

    Hii imekaaje huku, naomba unielekeze vizuri.
  14. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania Nina gari mitsubishi canter tani 3.5. natafuta kazi ya kubeba mizigo

    Asante sana wakuu kwa hizo connection. Nakaribisha maoni zaidi ili iwe faida kwa wengine pia. And then itakuwa rahisi mtu kufanya choice wapi aende akafanye kazi. Asanteni
  15. Mziwanda Mwafrika Chilas

    JamiiForums Tanzania Nina gari mitsubishi canter tani 3.5. natafuta kazi ya kubeba mizigo

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi nipo Dar es salaam, nina gari canter, box body freezer, yenye uwezo wa kubeba mizigo ya baridi na ya kawaida. Natafuta kazi halali popote hapa Tanzania bara iwe ya tender au trip za kawaida za kupakia mizigo. Yoyote anaefahamu chimbo ambalo lina...
Back
Top Bottom