Recent content by mzirayk

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kampeni mpya ya Utalii Tanzania ina ufisadi

    Ongezeko la utalii na kutaka kufanya ufisadi vinahusiana nini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kampeni mpya ya Utalii Tanzania ina ufisadi

    Juzi wakati waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla akiwasilisha bajeti ya wizara yake alilieleza bunge kuwa katika kuhakikisha Tanzania inapata watalii wengi zaidi, kampeni ya kuitangaza vivutio vyetu ndani na nje ya nchi itazinduliwa na itapewa jina la Unforgettable...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili kupunguza chuki yangu dhidi ya nyoka?

    Ophidiophobia or ophiophobia is a particular type of specific phobia, the abnormal fear of snakes. It is sometimes called by a more general term, herpetophobia, fear of reptiles or amphibians. The word comes from the Greek words "ophis" which refers to snake, and "phobia" meaning fear. Care...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: TRA wanatengeneza crisis ya mafuta ya kula makusudi

    Bara tukiwa na uhaba wa mafuta ya kula tunaagiza zanzibar kwa kutumia majahazi, kuna ambao walishaagiza mzigo ulikuwa majini unakuja kwa hiyo TRA wanachofanya ni kukamata mzigo wote na kwa kuwa majahazi hayana bandari maalum TRA wanachofanya ni kusambaa pwani zote kuhakikisha hakuna kinachoingia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: TRA wanatengeneza crisis ya mafuta ya kula makusudi

    Kaka TRA ni kama mbwa tu wanatumwa na mamlaka za juu kufanya haya unayoyaona kwa wafanyabiashara. Wao ni kama wakamuaji wa maziwa, mwenye ng'ombe akilazimisha anataka lita 10 wakati ana uwezo wa kukamuliwa lina 6 lazima waongeze maji.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: TRA wanatengeneza crisis ya mafuta ya kula makusudi

    Mafuta ya alizeti yanayozalishwa nchini hayatoshelezi mahitaji nchini na kwa taarifa yako nayo yamepanda bei toka jumatatu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: TRA wanatengeneza crisis ya mafuta ya kula makusudi

    Dumu limepanda toka 20,000 hadi 35,000
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: TRA wanatengeneza crisis ya mafuta ya kula makusudi

    TRA wako katika oparesheni kabambe ya kukamata yeyote anaeingiza mafuta ya kula nchini baada ya kuzuia shehena kubwa ya mafuta. Mimi ni mmoja ya wasambazaji wa mafuta mikoani na leo jioni nimepenyezewa taarifa kwamba TRA wanatengeneza crisis ya mafuta na kilichowaudhi ni kuwa pamoja na kuzuia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Tukiweka siasa pembeni jeshi letu la polisi na FFU wanahitaji kujipanga upya kwenye utoaji mafunzo kwa hawa maaskari wao. Ni kama vile wamefundishwa kuwa mwananchi wa kawaida hana thamani wanasahau kuwa hao hao ndio ndugu zao. Wasiwasi wangu hali ikiendelea hivi itajengeka chuki baina ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom na Makampuni Mengine Tumieni Wabunifu wa Nyumbani

    Ni kweli tunashindwa kuwa wabunifu kutokana na kutaka kuendana na wanachofanya nchi nyingine
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom na Makampuni Mengine Tumieni Wabunifu wa Nyumbani

    Nimeona hii video ya tangazo la Vodacom 4G lililotoka mwaka huu limefanana kila kitu na tangazo la Vodafone India 3G la mwaka 2014. Hii yote inatokana na kampuni kutumia creative directors wageni ambao akili zao haziwazi kwa mazingira ya Tanzania matokeo yake wanaishia kuiga concept za nje...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    Nitapenda uelezee kama idara yetu inahusisha mbinu za kuonoa uhai kwa mwananchi wa kawaida anaeonekana kama tishio la usalama wa nchi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze visa na mbinu za kukabiliana na wezi wa majumbani

    Suala la kuweka security camera ni muhimu sana na bahati nzuri siku hizi ni za bei chei, zipo hadi system ya ku-access camera kupitia smartphone hata kama haupo nyumbani unaweza kuchungulia nini kinaendelea.
Back
Top Bottom