Hii habari ya raia mnakutana halafu kila mtu anakuwa busy na simu yake inanikera sana,,,,au mko mahali na mpenz then kila mtu yuko busy na cm yake kwa staili hii sidhani kama kuna ndoa au mahusiano yatadumu....nafikir kuna haja ya kuangalia upya hili suala,,,,,aliye karb anakuwa mbali halafu...