mziray45
Member
- Mar 11, 2014
- 27
- 30
Habari wanajamvi,natafuta mtu ambaye anaweza kubadilishana na mm simu natumia TECNO L9 PLUS ni mpya ina wiki mbili na nina kila kitu mpk risiti na mimi nahitaji kupata TECNO CX nimetokea tu kuipenda. Au kama kuna mtu anaweza kunisaidia cha kufanya ili nipate ninayoitaka,0713901061 ndo namba yangu.