Kiwanda kinanunuliwa wapi? HujielewiHizo pesa zilizotumika kununulia mafuta wangenipatia zingetosha kununua viwanda vidogo kwa ajili ya kusindika nyanya japo mikoa miwili Iringa na Morogoro, ambao ndiyo wakulima wakubwa wa zao Hilo na wakulima wangeepukana na hasara.
Ni mazoeziVitisho.
Nimeziona tena nikiwa bunjuDuuuuu..... Imekatiza moja hapa ubungo Midaa hiii
Siku moja utasema pesa za kununulia silaha zitumike kusimika viwandaHizo pesa zilizotumika kununulia mafuta wangenipatia zingetosha kununua viwanda vidogo kwa ajili ya kusindika nyanya japo mikoa miwili Iringa na Morogoro, ambao ndiyo wakulima wakubwa wa zao Hilo na wakulima wangeepukana na hasara.