mziray45
Member
- Mar 11, 2014
- 27
- 30
naombeni msaada wa kisheria kuna kampuni nimeacha kazi mwezi sasa umepita nimeclear kila kitu sasa hawataki kunipa barua ya kunirelease,hr anasema mpaka ipite miezi sita na the only reason anayotoa ni kuwa nilikuwa nadeal na clients,sasa nataka niwashtaki maana nimeipitia sheria ya kazi hakuna kipengele cha namna hiyo,naomba kupata ufafanuzi wa kisheria.