Ombi kwa Rais;Fao la kujitoa

Ombi kwa Rais;Fao la kujitoa

Ombi kwa vyama vya wafanyakazi kesho ikiwa ni siku muhimu kwa wafanyakazi ni bora na watakuwa wamefanya jambo la maana na la kukumbukwa kwa kumuomba muheshimiwa rais
John Pombe Magufuli kuruhusu fao la kujitoa kwani sekta nyingi almost zote zimedorora sana hasa za binafsi kupelekea kupunguza wafanyakazi wao hivyo ni muhimu watu wakachukua michango
yao na kwenda kujiajiri kwani maisha ni magumu sana uraiani.

Pili kipindi hiki kimekuwa kigumu sana kupata ajira kwani watu wanaotafuta kazi niwengi kuliko walio na kazi imagine hawa elfu 9000 waliochishwa juzi nao pia wanaingia katika soko la kutafuta ajira ili waweze kujikimu na maisha baada ya kuachishwa serikalini.

Tatu kodi tunazokatwa wafanya kazi kwa mwezi ni kubwa sana ikilinganishwa na sekta zingine kama biashara na tunalipa bila delay au shuruti kwani zinakatwa juu kwa juu tofauti na mtu anaye fanya biashara au kilimo ambaye mpaka afuatwe pia ikumbukwe katika mafao ni mchango baina ya mfanyakazi na anaongezewa na mwajiri wake hakuna hata senti kutoka serikalini wala ruzuku kwa hiyo serikali ingetuachia sisi wafanyakazi wenyewe tukajipangia matumizi yetu badala ya serikali kutuingilia.

nne mimi binafsi niko kwenye sekta ya madini mazingira ya kazi ni magumu sana kwa hali ya kawaida huwezi kufanya kazi hadi kufikisha miaka 60 serikali iangalie takwimu za OSHA tangu migodi ianze kuna watanzania wengi sana wameathirika kutokana na uchimbaji wa madini hasa migongo sababu heavy duty mashine hazina shock up ni kiuno chako ndiyo spring masikio sababu ya kelele pia mapafu na magonjwa kama silicosis kwa sababu ya vumbi hivyo mtu kufanya kazi ya mining kwa zaidi ya miaka kumi kama mwalimu au nesi au afisa ugani ni uongo kwa haya machache chonde chonde ndugu zanguni naomba mtufikishie kilio chetu au nasikia mkulu mwenyewe anapita pita kwenye mtandao tunaomba mtusaidie wanyonge mliopa mtatusaidia. Asante
Sijui jamaa alitumia sheria ipi kutoa zuio la fao la kujitoa. Sijui kabisaaa.

Pesa yangu, nakatwa mimi, nataka kuitoa unanipangia.

Huu ni unyanyasaji kiwango cha uprofesa.

Ila naamini hakuna marefu yasiyo na ncha. Yana mwisho haya.
 
Ili fao la kujitoa mbona nikuanzia kipindi cha kikwete tena supporters wakubwa bungeni alikuwa Zitto,Msigwa na Tundu kasoro Mnyika kwa upande wa CDM na Jaffo upande wa CCM hao wanasiasa sijui chama cha wafanyakazi ndo mabingwa wanaopinga lisiwepo, hiyo hesabu maamivu mimi nikiwahi nikachukua mapema
Nina ushahidi wa asilimia 100 kuwa kipindi cha Kikwete fao halikuwa na masharti yoyote. Wewe hukufuata taratibu labda. Huyu dereva wa lori bovu ndo kachanganya madawa
 
Nafikiri ni vema mkataja na hiyo mifuko mliyoenda,mm gepf wanatoa ndani ya mwezi
 
Ombi kwa vyama vya wafanyakazi kesho ikiwa ni siku muhimu kwa wafanyakazi ni bora na watakuwa wamefanya jambo la maana na la kukumbukwa kwa kumuomba muheshimiwa rais
John Pombe Magufuli kuruhusu fao la kujitoa kwani sekta nyingi almost zote zimedorora sana hasa za binafsi kupelekea kupunguza wafanyakazi wao hivyo ni muhimu watu wakachukua michango
yao na kwenda kujiajiri kwani maisha ni magumu sana uraiani.

Pili kipindi hiki kimekuwa kigumu sana kupata ajira kwani watu wanaotafuta kazi niwengi kuliko walio na kazi imagine hawa elfu 9000 waliochishwa juzi nao pia wanaingia katika soko la kutafuta ajira ili waweze kujikimu na maisha baada ya kuachishwa serikalini.

Tatu kodi tunazokatwa wafanya kazi kwa mwezi ni kubwa sana ikilinganishwa na sekta zingine kama biashara na tunalipa bila delay au shuruti kwani zinakatwa juu kwa juu tofauti na mtu anaye fanya biashara au kilimo ambaye mpaka afuatwe pia ikumbukwe katika mafao ni mchango baina ya mfanyakazi na anaongezewa na mwajiri wake hakuna hata senti kutoka serikalini wala ruzuku kwa hiyo serikali ingetuachia sisi wafanyakazi wenyewe tukajipangia matumizi yetu badala ya serikali kutuingilia.

nne mimi binafsi niko kwenye sekta ya madini mazingira ya kazi ni magumu sana kwa hali ya kawaida huwezi kufanya kazi hadi kufikisha miaka 60 serikali iangalie takwimu za OSHA tangu migodi ianze kuna watanzania wengi sana wameathirika kutokana na uchimbaji wa madini hasa migongo sababu heavy duty mashine hazina shock up ni kiuno chako ndiyo spring masikio sababu ya kelele pia mapafu na magonjwa kama silicosis kwa sababu ya vumbi hivyo mtu kufanya kazi ya mining kwa zaidi ya miaka kumi kama mwalimu au nesi au afisa ugani ni uongo kwa haya machache chonde chonde ndugu zanguni naomba mtufikishie kilio chetu au nasikia mkulu mwenyewe anapita pita kwenye mtandao tunaomba mtusaidie wanyonge mliopa mtatusaidia. Asante

Pesa zenyewe zimeenda kujenga miradi ambayo ita break even miaka 10 ijayo. Mifuko iko hoi mno
 
Mkuu mimi nimeenda tarehe 21 mwez huu nimepigwa kalenda tena mwezi wa saba sasa sijui kama wameanza kutoa kuanzia tarehe 24 .
Sijajua mkuu kama hizi taarifa ni kweli ama la. Na kama ni kweli ni kwa watu gani. Niliwahi kwenda nssf kuuliza kwa niaba ya jamaa yangu tena baada ya miezi 6 kupita ila wakasema wanasubiri maelekezo kutoka serikalini. Cha ajabu ni kuwa jamaa jamaa kapita pale na kuuliza juzi jumamosi baada ya kusikia hizo tetesi jamaa mmoja akamuambia hawajawahi kuzuia hilo fao ila kuna watu walikuwa wanadanganya kwahiyo kama mtu miezi 6 imekwisha na wamethibitisha kuwa hadanganyi eti anapewa chake. Hayo majibu yalitolewa na mtu wa nssf ambaye hata hivyo mwanzo kabla ya kuulizwa hiyo ishu alisema jumamosi sio siku ya kazi, kwahiyo inawezekana pia alitoa majibu ki urahisi. Ila tutajua tu ukweli wake ndani ya siku si nyingi.
 
Hao wanafki tu huenda kwa kukua alisema yeye si muhusika ndio maana wameamua kumuambia uongo huo ,ila nadhani kama umepata muda wa kumskiliza JPM leo kwenye sherehe ya mei mosi utakua umepata picha kamili.
 
Kumekucha fao lakujitoa kufutwa rasmi

Mimi ninavyo fahamu mbadala wa FAO la kujitoa ni unemployment benefit, sasa hii bima ya afya inakujaje tena? Naomba ufafanuzi no kama sielewi hivi!
 
Kaka ukistaajbu ya musa utayaona ya firauni ,mkuu itakua katu hadaa tu sku ile ukweli wa mambo ndo huo hakuna fao la kukosa ajira bali fao la bma ya afya wakat alisema kwamba tungepata sehemu tu ya fao letu kupitia fao la kukosa ajira leo wanakuja na mengne ,yaan hii nchi muda mwngne nasema bora ningezaliwa sudan tu.
 
Back
Top Bottom