NI DALILI YA UGONJWA GANI HUU....??

Smart boy Shewedy

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
3,718
3,487
Wakuu wana JF. Hivi pindi ifikapo mida ya usiku huwa kuna kitu kina chezacheza/kutekenya sehemu ya haja kubwa pamoja na kuwashwa kwenye makalio iwe Asubuhi, mchana hadi usiku.

Ni dalili ya nini/ama ugonjwa gani huu.......?
 
Maalim ulipona?
 
Minyoo hio aina ya trichuris trichura,au entemobious vermicularis.
Nenda kapimbe minyoo kwenye maabara ya kuelewaka

Back
Top Bottom