Recent content by mzeewanusu

  1. mzeewanusu

    Kimara imeikosea nini Serikali?

    we mtoa mada uwe unafanya na kauchunguzi. asilimia kubwa ya udongo wa kimara ni mfinyanzi. ndio maana kioindi cha mvua balaa linaanza. pia mbona wanaanza jenga,ingawa kwa gharama mfano barabara ya korogwe inayotokea maji chumvi na riverside inatengenezwa kwa kutumia zege nadhani unajua barabara...
  2. mzeewanusu

    Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

    nakubaliana na wewe. lakini hata akiwa na kipato kidogo haimaanishi hatakiwi provide. si ndio? au nakosea.? ila kuna kaujinga flani siku hizi hata sijui kinatokea wapi. na mwanamke kukuzidi kipato sio tatizo vile vile. maana tishachanganyana changanyana. mfano halisi mimi. mwanamke wangu...
  3. mzeewanusu

    Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

    wanaume wa siku hizi tumekua wapuuzi puuzi tuu. hata sielewi.
  4. mzeewanusu

    Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

    sijachafukwa. ila sisi wanaume mda mwingi tunazingua. wanawake wote wana soft spot. kama huijui imekula kwako. mimi bana huwa nawaambiaga ukwe 'with you i live,without you i live'. maisha yanasonga.
  5. mzeewanusu

    Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

    soma kwa makini. kama hujaelewa uliza. kumbuka nimeandika mwanaume asipotumia akili mara nyingi nini? wengine kabla ya ndoa tume date na wanawake wenye vipato na baada ya ndoa mwanamke ana kipato pia kikubwa tuu. ningekuwa na wenge ningelalamika kama jamaa hapo juu. ila mwanamke hata kama...
  6. mzeewanusu

    Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

    wanawake zamani bana. mama.zetu. kizazi hiki cha nyoka vurumai tupu. na akiwa na pesa ndio balaa zaidi. hakukaliki kama mwanaume hauna msimamo. zamani hata kama mshua kipato chenga mwanamke anamsitiri. hata watoto hawajui kama baba mchovu. hata marafiki na majirani hawawezi jua. hata likitokea...
  7. mzeewanusu

    Huwa unafanyaje kurudisha uhusiano mzuri na baba yako, kipindi nguvu ya chuki inapokuwa kubwa zaidi?

    hili gazeti mida ya gambe linazingua. waliooigana miti wakakuleta huwezi shindwa njia ya kuelewana nayo.
  8. mzeewanusu

    Wanawake shtukeni! Sera za haki sawa chanzo cha kuvuruga ndoa zenu

    hivi kwanini mauzauza mnaandikaga wakati nalewa? nikiwa mzima mnaandika vitu vya maana.
  9. mzeewanusu

    Hivi inawezekana ukawa mwanaCCM na ukawa Mchamungu wa kweli?

    sie watu weusi huwa tunakurupuka sana. nyani watabaki kuwa nyani. ndio uzi gani huu? us..... mtupu. ya serikali achia serikali,ya Muumba achia Muumba. usichanganue dini na siasa
  10. mzeewanusu

    Ndoa ya mtoto wa Kagame yasimamisha shughuli zote za kiuchumi hapa Rwanda!

    kwahiyo unadhani wamezuia kwasababu ya ubwabwa. ubwabwa tuu. funguka. kwasababu kagame yuko kimabavu pale
  11. mzeewanusu

    Makosa matatu tunayofanya sisi wanaume!

    we jamaa uzi wako haueleweki unanirusha stimu za tungi tuu hapa.
Back
Top Bottom