Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

Sijaongelea mpenzi wangu toka awali ila baada ya kuona hutaki kuelewa kitu ambacho kipo wazi tu nimeamua kugusia mazingira halisi tu pengine itakuwa rahisi kwako kuelewa.
Isitoshe yeye ni mwanamke kama wewe tu.

Pia kuongelea mambo ambayo sina control nayo inakuwa inabaki story tu na tutatiana njaa tu maana huwezi kubadili MO ya mtu mwingine. Kama mtu ameamua kuchepuka milele hata ukimpa alicia keys bado atasaliti tu.

Cha msingi kama mpenzi wake angalia wapi palipopungua uone namna ya kumsaidia kama haitafaa then chapa zako lapa, you are not a tree..😆😆😆 if things arent working the way you want them to jikate.

Ila mimi nashangaa sijui kwanini unajiongelea wewe kama wewe tu na mpenzi wako mbona mimi sijiongelei mimi kama mimi tu na mpenzi wangu? Hebu naomba tutoke kwenye hii ya kusema "mimi na mpenzi wangu tuko hivi na hivi" na tuongelee yaliyoko kwenye jamii kwa ujumla

Ujue hata mimi nikiamua kujiongelea mimi na mpenzi wangu tu basi sina la kulalamika hapa maana haya yote ninayoyalalamikia mpenzi wangu hana hata moja nawashagaa nyie mnaodhani kuwa ninayoyalalamikia hapa ndo ninayoyapitia mimi nawasemea tu wanawake wenzangu ambao wana wapenzi wenye sifa hizo ninazozilalamikia

Kwahiyo naomba na wewe kama hautojali usiongelee ya mpenzi wako tu bali ongelea na ya wengine waliopo kwenye jamii ambayo najua fika kuwa unayafahamu vizuri tu hasa hili janga la wanaume wenzio kuchepuka japo wewe unasema hauchepuki

Lakini hebu niambie ni wanaume wangapi kwenye jamii hawachepuki kama wewe? Ukizingatia kuna wanaume wanakiri kabisa kuwa hata wapate wanawake wenye sifa zote nzuri wao kuchepuka ni lazima sasa hao nao unawaongeleaje? Kama hautaki kuongelea yanayoendelea kwenye jamii basi pia siyo lazima ni ombi tu siyo amri
 
Na vipi kwa wale wanaume wanaofanya hivyo kwa kupenda wenyewe bila kushurutishwa na wake zao?
Hao si ndio nilosema wanakuwa kind hearted tu. Wanakuwa na mguso wa aina yake moyoni na huruma kwamba huyu nae anachoka wacha nimsaidie hili. Anaamua kwa hiari leo ngoja ule pilau yangu mpenzi anatoa kitu.
 
Hahahaha Extrovert my dear, unadhani ni wanawake wote wanatafuta pesa kwa ajili ya kwenda saluni na kujipendezesha tu? Nikijitolea mfano mimi ni mtu mmoja nisiyependa make up kabisa yaani I'm always natural nikijiremba sana basi nimepaka lipstick au lipgloss ukiachilia mbali kusuka ofcourse nasuka lakini huwa sisuki nywele za bei mbaya bali za bei ya kawaida tu

Na kusuka kwenyewe siyo kila wiki hapana mara nyingi huwa niko na nywele zangu nazibana au naziachia tu na kuweka dawa ni hadi zikatike au ziotee tukija upande wa mawigi ndo kabisaaa yaani bora hata unipake make up kuliko kunivalisha wigi in short I'm not a fan of those stuffs at all

Okay tukiachana na hayo kuna wanawake wanatafuta pesa na wanachangia nusu kwa nusu katika maendeleo ya kifamilia na waume zao ndivyo wanavyotaka na ikitokea siku hao wanawake hawajachangia basi waume zao lazima walalamike hela zimeenda wapi na lazima waanze kusema kuwa wake zao hawafai tena

Kwa kifupi ni kwamba kuna wanaume tena wengi tu kwao wanaposema wanataka wife material wanamaanisha wanawake wanaoweza kutafuta pesa na kuchagia pasu kwa pasu kwenye maendeleo ya kifamilia hao nao unawaongeleaje?
Kwa muktadha wa tunalozungumzia ni kuwa mke hafanyi kazi kwa kuwa mume hana kipato. Mume ana kipato cha kuendesha familia freshi tu ila mke anafanya kazi kwa mapenzi yake tu.

Sasa napata ukakasi unapodai kuwa mke anafanya majukumu ya mume kivipi, we unafanya kazi ili upate hela ya saluni na kuweka kucha bandia na kubadilisha pochi kila ukitaka. Sasa sielewi lawama ni za nini?

Kidume kumtegemea mke kwa 100% thats another case, wanaitaga Mario.
 
Sawa
Sijaongelea mpenzi wangu toka awali ila baada ya kuona hutaki kuelewa kitu ambacho kipo wazi tu nimeamua kugusia mazingira halisi tu pengine itakuwa rahisi kwako kuelewa.
Isitoshe yeye ni mwanamke kama wewe tu.

Pia kuongelea mambo ambayo sina control nayo inakuwa inabaki story tu na tutatiana njaa tu maana huwezi kubadili MO ya mtu mwingine. Kama mtu ameamua kuchepuka milele hata ukimpa alicia keys bado atasaliti tu.

Cha msingi kama mpenzi wake angalia wapi palipopungua uone namna ya kumsaidia kama haitafaa then chapa zako lapa, you are not a tree.. if things arent working the way you want them to jikate.
 
hapa nimecheka kwa nguvu kwahiyo kumbe unakubali kuwa wanaume msiotaka kusaidia wake zenu mnajua kabisa kuwa wanachoka ila ndo hivyo mnakuwa hamna huruma tu?
Hao si ndio nilosema wanakuwa kind hearted tu. Wanakuwa na mguso wa aina yake moyoni na huruma kwamba huyu nae anachoka wacha nimsaidie hili. Anaamua kwa hiari leo ngoja ule pilau yangu mpenzi anatoa kitu.
 
wanawake zamani bana. mama.zetu. kizazi hiki cha nyoka vurumai tupu. na akiwa na pesa ndio balaa zaidi. hakukaliki kama mwanaume hauna msimamo. zamani hata kama mshua kipato chenga mwanamke anamsitiri. hata watoto hawajui kama baba mchovu. hata marafiki na majirani hawawezi jua. hata likitokea jambo walikuwa wakisema subiri baba flani arudi tuyajenge. na ndoa hizo zimedumu mpaka mwisho. sasa hawa wanawake wa sasa. baba usipokuwa msimamo watakuvuruga mpaka unadondoka. ndio maana hata mkiangalia vijana wengi sasa hivi wanafunga ndoa na kufariki ghafla fhafla. na matatizo ya moyo na sukari wanapata miaka kadhaa baada ya mdoa. nitaendelea kesho na gazeti la alasiri
 
Yaani watu bwana kwani kifo kiliandikwa kwa wasio na ndoa tu? Kwanini wanaume wakifa kwenye ndoa chanzo kinaonekana ni wake zao? Kama ni stress kila mtu anapitia kwenye ndoa haijalishi ni mume au mke ila ni vile wanaume mnadhani maovu yenu ni ya kawaida na madogo hivyo hayatuumizi ila ya kwetu ndo mnayaona makubwa na yanawaumiza sana
 
Listen here darling, my woman works from Monday to Sunday yuko kwenye industry ambayo ni too demanding. Ila pamoja na hayo hajawahi kuniambia hata nisuuze kijiko tu. Hamna beki 3 ila nyumba ni safi 24/7 na nakula kinachotoka jikoni kwangu wala sijawahi kula kibandani akiwa around just to make things straight. She earns about 70% of my monthly income na still hana hizo itikadi zako.

Kitu nilichojifunza mwanamke ambaye sio mvivu kwa asili huwa hanaga excuses katika majukumu yake. Huwa naamua kumsaidia at times. She is still a woman kama wewe tu.

Sasa sielewagi kwanini unatumiaga nguvu sana kuficha ile fact ya kwamba wewe ni mvivu. I wonder lini utakuja ku realize hilo na uache kujificha on very minor excuses zisizo na tija kama sijui kazi ama nini, LadyRed alikwambia jana kama unaona tabu unaweka mfanyakazi anakuwa anakupiga tough ila sio kumlazimisha mume afanye majukumu yako mama. Mbona simple tu.
Good for u and ur woman
To be honest me cha uvivuu🤗☺️..labda kupika ts my hobby
Ndo mana naishi na dada vizuri awepo 24/7
Namtrain what i want.,Nkirudi nafanya vichache tuu day overrr
 
wanawake zamani bana. mama.zetu. kizazi hiki cha nyoka vurumai tupu. na akiwa na pesa ndio balaa zaidi. hakukaliki kama mwanaume hauna msimamo. zamani hata kama mshua kipato chenga mwanamke anamsitiri. hata watoto hawajui kama baba mchovu. hata marafiki na majirani hawawezi jua. hata likitokea jambo walikuwa wakisema subiri baba flani arudi tuyajenge. na ndoa hizo zimedumu mpaka mwisho. sasa hawa wanawake wa sasa. baba usipokuwa msimamo watakuvuruga mpaka unadondoka. ndio maana hata mkiangalia vijana wengi sasa hivi wanafunga ndoa na kufariki ghafla fhafla. na matatizo ya moyo na sukari wanapata miaka kadhaa baada ya mdoa. nitaendelea kesho na gazeti la alasiri
😂😂😂chief naona umechafukwaa

La alasiri vp hujalimalizia tu loool😂
 
Labda wanaume wanaojielewa... wanaume wengi wa sasa wanapenda kusaidiwa..."wanasema hawaoi golikipa"...
Acha wafe mpaka watakapojielewa...
 
Sasa sio kila mwanaume ni kind heafted ndio hapo tofauti ilipo. Ukiwa na jamaa kavu anakunyoosha balaa.
hapa nimecheka kwa nguvu kwahiyo kumbe unakubali kuwa wanaume msiotaka kusaidia wake zenu mnajua kabisa kuwa wanachoka ila ndo hivyo mnakuwa hamna huruma tu?
 
Good for u and ur woman
To be honest me cha uvivuu🤗☺..labda kupika ts my hobby
Ndo mana naishi na dada vizuri awepo 24/7
Namtrain what i want.,Nkirudi nafanya vichache tuu day overrr
Wewe unafanya vyema, hata hobby yako nimeipenda unafaa.😆😆😆! Tatizo wenzio wanaogopa bek 3 ati ataiba penzi kwa baba sasa najiuliza kama baba unaishi nae vizuri atapataje chance ya ku sneak kwa mdada wa kazi.
 
Hahahaha Extrovert my dear, unadhani ni wanawake wote wanatafuta pesa kwa ajili ya kwenda saluni na kujipendezesha tu? Nikijitolea mfano mimi ni mtu mmoja nisiyependa make up kabisa yaani I'm always natural nikijiremba sana basi nimepaka lipstick au lipgloss ukiachilia mbali kusuka ofcourse nasuka lakini huwa sisuki nywele za bei mbaya bali za bei ya kawaida tu

Na kusuka kwenyewe siyo kila wiki hapana mara nyingi huwa niko na nywele zangu nazibana au naziachia tu na kuweka dawa ni hadi zikatike au ziotee tukija upande wa mawigi ndo kabisaaa yaani bora hata unipake make up kuliko kunivalisha wigi in short I'm not a fan of those stuffs at all

Okay tukiachana na hayo kuna wanawake wanatafuta pesa na wanachangia nusu kwa nusu katika maendeleo ya kifamilia na waume zao ndivyo wanavyotaka na ikitokea siku hao wanawake hawajachangia basi waume zao lazima walalamike hela zimeenda wapi na lazima waanze kusema kuwa wake zao hawafai tena

Kwa kifupi ni kwamba kuna wanaume tena wengi tu kwao wanaposema wanataka wife material wanamaanisha wanawake wanaoweza kutafuta pesa na kuchagia pasu kwa pasu kwenye maendeleo ya kifamilia hao nao unawaongeleaje?
Hao nao inabidi wawekwe kwenye Novena maalum. Mwanamke alazimishwi kuchangia kwenye maendeleo. Akijiskia achangie ila sio lazima kwamba umshurutishe, isipokuwa labda kwenye emergencies.
 
Back
Top Bottom