Kwanini Ikulu hupendelea kutumia magari meusi ?

Kwanini Ikulu hupendelea kutumia magari meusi ?

Ni kiprotokali

Rangi nyeusi ina maana yake kubwa katika ulimwengu wa kijasusi
 
Unajua nn mkuu Black symbolizes

power and control of the self and others.
 
Hivi kwanini hakuna mtu amewahi kujaribu kupiga nyumba yake rangi nyeusi full kuanzia bati mpaka chini na vioo tinted tuone itakuaje? Ujue inaweza kuwa kali sana mkuu..?
[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wakuu.

Nimekuwa nikifuatilia magari ya Ikulu kadhaa nchi nyingi yanakuwaga na rangi nyeusi.

Ni mara chache sana Ikulu kutumia magari meupe nk.

Ni protocally au ni accidentally tu ?
kwani unashauri tutumie gari gani mkuu?
 
Rangi Maalum Na Hata Siku Ukiona Sherehe Ikulu Wanaambiwa Waalikwa Aina Ya Suti Zao Zinatakiwa Kuwa Na Rangi Nyeusi
 
Meupe yanachafuka haraka na ikulu ni alama ya usafi
 
Back
Top Bottom