Acha uwoga kijana, hawa viumbe wameletwa tuwatawale.....Wanawake ni watu wa ajabu sana
Wakishajiona wana vihela vya mboga tu na kuwekea mafuta gari basi wanavimba kichwa na kijiona wapo juu
Ukioa mwanamke aliyekuzidi elimu,kipato na Mali kwa kweli hautakuwa na sauti ndani ya nyumba
Yeye ndio atajifanya kichwa cha familia,ukichelewa kurudi kidogo atachonga sana,atataka simu yako aitawale kila msg na calls inayoingia atataka kujua inatoka kwa nani
Mwanamke atakuchunga kisa tu anajua ana hela na hauwezi kwenda kwa mwingine
Mwisho wa siku stress zinakuzidi unakufa
Sasa bora uoe mwanamke mwenye elimu ndogo,kipato kidogo huyu atakuheshimu na mtaishi ndoa ya furaha,Amani na upendo na utamtawala vyema .
Mi mke wangu anakula pesa ndefu UN yaani nina mkoko wa UN hapa wa ajabu hapa hela bwerere watoto wate Tanganyika Int. Xul...nakula bata then namgawia.... na mi ninazo ila za kawaida.