Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
36,371
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
36,371 2,000
Mkuu umenionea
Hoja zangu nilitoa na baadhi ya wanaume humu wakakubaliana na utetezi wangu bila kushurutishwa.
Cha ajabu hii mada mmeiibua Tena ,ila hii tulishashinda tangu mwanzo

Mnamchosha tu Edeyln ,hii ligi tushachukua ubingwa kitambo
Mimi mpenzi msomaji tu
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,944
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,944 2,000
Waliletwa muwatawale lakini pia muwahudumie sasa hauhudumii halafu unataka utawale? Kumbuka ukikubali kumuachia mkeo majukumu yako basi ukubali kumuachia na nafasi yako pia Mungu hakuumba mwanaume kuwa marioo wala benten
Kwa kweli hao marioo au wanaume kama mabimti hao walaamiwe ...
 
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
3,405
Points
2,000
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
3,405 2,000
Mkuu umenionea
Hoja zangu nilitoa na baadhi ya wanaume humu wakakubaliana na utetezi wangu bila kushurutishwa.
Cha ajabu hii mada mmeiibua Tena ,ila hii tulishashinda tangu mwanzo

Mnamchosha tu Edeyln ,hii ligi tushachukua ubingwa kitambo
yaani nachoka mimi kuendelea kuwaelewesha watu wazima wanaojiita wanaume hebu wanipumzishe jamani looh
 
mzeewanusu

mzeewanusu

Senior Member
Joined
Apr 11, 2019
Messages
115
Points
225
mzeewanusu

mzeewanusu

Senior Member
Joined Apr 11, 2019
115 225
Mwanaume uliumbwa kuwa ruler na provider hivi vitu vinaenda sambamba na haviwezi kutengana hata siku moja ukishaacha kuwa provider maana yake haufai pia kuwa ruler kumbuka ukikubali kumuachia mkeo majukumu yako basi ukubali kumuachia na nafasi yako pia
nakubaliana na wewe. lakini hata akiwa na kipato kidogo haimaanishi hatakiwi provide. si ndio? au nakosea.? ila kuna kaujinga flani siku hizi hata sijui kinatokea wapi. na mwanamke kukuzidi kipato sio tatizo vile vile. maana tishachanganyana changanyana. mfano halisi mimi. mwanamke wangu kanizidi kidogo. ila heshima ipo. kwasababu nina msimamo. na na provide na huwa sina time na mshahara wake wala nini. maana najua kuna leo na kesho. si tuna watoto. hata kikanuka nikapotea ulinwengu huu na kwenda nyumbani kwa creator. watoto Mama yao atapambana nao. labda apate wehu
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
1,699
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
1,699 2,000
wanawake zamani bana. mama.zetu. kizazi hiki cha nyoka vurumai tupu. na akiwa na pesa ndio balaa zaidi. hakukaliki kama mwanaume hauna msimamo. zamani hata kama mshua kipato chenga mwanamke anamsitiri. hata watoto hawajui kama baba mchovu. hata marafiki na majirani hawawezi jua. hata likitokea jambo walikuwa wakisema subiri baba flani arudi tuyajenge. na ndoa hizo zimedumu mpaka mwisho. sasa hawa wanawake wa sasa. baba usipokuwa msimamo watakuvuruga mpaka unadondoka. ndio maana hata mkiangalia vijana wengi sasa hivi wanafunga ndoa na kufariki ghafla fhafla. na matatizo ya moyo na sukari wanapata miaka kadhaa baada ya mdoa. nitaendelea kesho na gazeti la alasiri
Kumbe mwanamke kukudharau hakuhusiani na kipato chake,bali nafasi ya Mwanaume wake.?
 
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
30,332
Points
2,000
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
30,332 2,000
Kuhudumiwa kwa kila kitu manaake ni nini? utapata yote yalio katika haki zako kama mke. To make story short, Utakula, Utavaa na Utalala pahali salama tu on top of that utatibiwa endapo utaugua wewe na watoto wako kadri ya uwezo nilionao kama mume wako.

Sasa kama una idea za kudai private jet katika hio kauli ya kuhudumiwa kila kitu, you must be dead wrong.
 
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
30,332
Points
2,000
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
30,332 2,000
Nikupe mfano hai,ofisi nifanyayo kazi asilimia kubwa ni wanaume.Almost asilimia 80 wameoa,ni wasomi wazuri,wana vipato vizuri,wengine wana vyeo vikubwa tu ofisini,ila wote hao wake zao wameishia la saba,kama kuna aliyesoma sana basi form 4 tena felia.Wanasema wanaogopa kuoa wanawake wasomi wenzao watawasumbua,ila kutwa kuchwa wanachepuka na hao wasomi wenzao,hadi wengine wamezaa nje.

Ila ukiwaona wake zao utastaajabu,huwezi dhania wanaweza kuwa wake wa maboss,kuanzia kimuonekano kwa maana hata kuwapendezesha tu wanahofu na wote ni mama wa nyumbani.So kwa mwanaume ili ndoa idumu na umkontroo mke,lazima umzidi tu kwa kila hali.
Kwahiyo unafikiri hao wamama wa nyumbani ambao hawapendezeshwi, hawajasoma na form 4 failure hawachepuki???
 
T

The iron batterfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Messages
1,788
Points
2,000
T

The iron batterfly

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2018
1,788 2,000
Kwahiyo unafikiri hao wamama wa nyumbani ambao hawapendezeshwi, hawajasoma na form 4 failure hawachepuki???
Mkuu hilo silijui manake siko karibu nao
Nimeongelea naoshinda nao ofcn na hata michepuko yao inafahamika na wayafanyayo wakiwa maeneo ya kazi na kwenye majukumu yao.
 
mark girland

mark girland

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2019
Messages
635
Points
500
mark girland

mark girland

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2019
635 500
Lkn nawe usiwe positive wakati wote kuwatetea Ke ktk kila inshu kama vile ni malaika ili tukuone hauko kiubishi zaidi bali ni ktk kuwianisha pande zote mbili(Ke na Me) mazuri na mapungufu yao.
Hili ndiyo tatizo. Majibizano yao mengi yanaathiriwa zaidi na hisia kuliko uhalisia na mantiki..
 

Forum statistics

Threads 1,316,112
Members 505,494
Posts 31,879,416
Top